VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Nitawashangaa sana hao UKAWA wakishiriki huo uchaguzi kwa daftari lililopo la wapigakura. Sijui watakuwa na matarajio gani!Kipenga kinakaribia kupulizwa. Tutaanza na Serikali za Mitaa mwaka huu. Sisi na nyinyi mapambanoni. Siasani. Sasa,mtoto hatumwi dukani.
Sisi tumejiandaa kimbinu muhimu. Tumejiandaa kuzoa Serikali za Mitaa kama taa ya kijani ya mwakani juu ya uchaguzi mkuu. Amini nawaambia,kwa daftari lililopo na mfumo wa uchaguzi tulionao,ushindi wenu utakuwa mgumu sana.
Sisi tutapeta. Mmeziona karatasi za kupigia kura za Vijiji na Vitongoji? Hata kura zitakazoharibika zitatusaidia. Mtabaki kushangaa tu.
Mkae mguu sawa. Tukutane uchaguzini
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hahahahahaaaaaaa! Mnaweweseka sana. Wapi Mkuu Sixgates?Eti kwenye karatasi ya kupiga kura kwenye uchaguzi huo wa mitaa mpiga kura atatakiwa achore "nembo" ya chama chake mbali na kupiga kura yake!
Sasa sijui kuchora itakuwa ni "optional" au lazima,mimi sijui.
Hii ndio Tanzania yetu nchi yenye amani!
UKAWA hamuishi sababuNitawashangaa sana hao UKAWA wakishiriki huo uchaguzi kwa daftari lililopo la wapigakura. Sijui watakuwa na matarajio gani!
Mkuu, unachekesha sana. Unaacha kuchangia unawaangalia wanaochangiaMisikule hiyo
Duh! Hata wakichanganya kura za hapana kwenye kura za maoni na za Ndiyo kwenye serikali za mitaa hawatukamati hata kidogoDalili za ushindi mwakani zinaanza na serikali za mitaa.
Tayari tunaanza kuwachapa. wakati wanakimbilia kusema kura za hapana. sisi tunaangamiza kwenye serikali za mitaa.
Hatutaki mtu kulalamika.
Duh! Hata wakichanganya kura za hapana kwenye kura za maoni na za Ndiyo kwenye serikali za mitaa hawatukamati hata kidogo
Likitumika daftari hili lililopo hakuna haja ya kupiga kura kwa sababu vijana wengi watakosa haki yao ya kupiga kura kwani wengi sana hawajaandikishwa na hii ndio shida kwa serikali ya ccm kwani wanaogopa kuandikisha upya wakijua vijana wengi wataikataa ccm.Leo nimesikia wametangaza vijana tujitokeze kupiga kura na kugombea wakati hawajatuandikisha itakuwaje?sasa nasikia wiki hii neck inakutana na ccm dodoma,kweli tutafika?Raisi ametuambia tugombanie uongozi lakini hawajatuandikisha tutapigaje kura?Daftari liboreshwe kwanza tafathali
Uchaguzi wa Serikali za mitaa hautimii daftari la wapigaab kura la NECNitawashangaa sana hao UKAWA wakishiriki huo uchaguzi kwa daftari lililopo la wapigakura. Sijui watakuwa na matarajio gani!
Liwe hili au jipya au lolote. Ukawa lazima mkae chini.
Tutawachapa mtashindwa hata kupiga kampeni 2015.
Eti kwenye karatasi ya kupiga kura kwenye uchaguzi huo wa mitaa mpiga kura atatakiwa achore "nembo" ya chama chake mbali na kupiga kura yake!
Sasa sijui kuchora itakuwa ni "optional" au lazima,mimi sijui.
Hii ndio Tanzania yetu nchi yenye amani!
Mkiitisha uchaguzi bila daftari kuboreshwa mtaona Moto, tuta mark nyumba za kila wanaccm si mko wachache then itakuwa ni KUWABAKA Tu. Tena mijamaa ya CCM mingi Ina wowowo vere tafunikabo, ili mtambue kuwa nchi hii ni yetu sote sio ya nyie majizi peke yenu. Kinachowapa kichwa ni kwa vile mna dola na jeshi lakini mitaani mko wachache mno..
Lumumba hatuna mtu kama Tupa Tupa
Kipenga kinakaribia kupulizwa. Tutaanza na Serikali za Mitaa mwaka huu. Sisi na nyinyi mapambanoni. Siasani. Sasa,mtoto hatumwi dukani.
Sisi tumejiandaa kimbinu muhimu. Tumejiandaa kuzoa Serikali za Mitaa kama taa ya kijani ya mwakani juu ya uchaguzi mkuu. Amini nawaambia,kwa daftari lililopo na mfumo wa uchaguzi tulionao,ushindi wenu utakuwa mgumu sana.
Sisi tutapeta. Mmeziona karatasi za kupigia kura za Vijiji na Vitongoji ? Hata kura zitakazoharibika zitatusaidia. Mtabaki kushangaa tu.
Mkae mguu sawa. Tukutane uchaguzini
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam