UKAWA mjitafakari, mmepwaya sana

Mleta mada kaandika jambo kuntu sana kwa wapenzi wa CDM wanaojitambua kamwe hawawezi kucomment pumba kama wanazo comment baadhi hapo juu...
Mawazo yako kwa Baba Jessica kuwaita watoto wa waliompigia kura, vilaza na kuwafukuza, wakati kuna vilaza wamebakizwa UDOM.
 
Wazungusha mikono hapa watatukana had asubuhi
 
Nashukuru ndugu yangu kwa kuliona hili. .mimi hilo la new team nalijua wazi kwanI ni hivi majuzi tu wamemaliza kikao chao pale monduli.
Na mojawapo ya majukumu waliyopeana ni hili la kujenga vikosi tofauti katika mitandao ya kijamii. Kumbe wananchi wengi mmeliona na kulitambua hili. ..washindwe daima
 
commonmwananchi
Hawa jamaa tena kupitia mbowe hakika anawaharabia kabisa njia/future kupitia kule bungeni.

Mfano; wanatambua hawafiki theluthi inayotakiwa kumuondoa naibu spika bungeni wao wanaendeleza kutoka nje, hapo ni uzombi wa kitoto hata kama wanataka kuonesha wapiga kula wao, inabidi watambue hali ya kisiasa ya sasa |upepo| unasomaje wala si kukurupuka kama mbowe anavowapeleka.

Kuna mtu mmoja aliwahi kusema ACT inakuja kwa mwendo wa kinyonga, na kweli sitashangaa kuona hilo.

Muda utakuja kusema lol..!!, but nafahamu kuna vijana wapo vyama vya upinzani wenye weledi na wengine ni wabunge, ambao niliona wangepewa nafasi kufanya research ya mambo kadha kadha ambayo kutokana na elimu yao wangeweza kujenga hoja zenye nguvu siyo kutoka nje, ili hizo hoja ziumize vichwa vya wabunge walio wengi/wanaolala.

Hapo ndipo influence ingepata nguvu kwa wapiga kura wao na ai hili dudu la kutoka nje wanaloliendea pale dodoma.
 
Kweli siku hizi Chadema imeishiwa watu wa kujibu hoja ....sasa hapa mmejibu nini.?

Kwa mwendo huu wa kuparamia hoja za matukio, CCM watausumbua sana Upinzani....CCM watakua wanabadilisha tu CD nyie ni kucheza tu bila kujiuliza.!
BK 7
 
Mawazo yako kwa Baba Jessica kuwaita watoto wa waliompigia kura, vilaza na kuwafukuza, wakati kuna vilaza wamebakizwa UDOM.
Mmebaki na sera chonganishi kama hizI zisizo mashiko. ..unanikumbusha mzee duni na uchonganishi wake wa"..wametuita malofaaaa! !!
 
Well said mkuu 100% [emoji110] [emoji106]
 
Upinzani umeishiwa charge! Tundu Lissu naye kawa bubu hasa katika bunge hili ambalo Dk Tulia ni Naibu Spika. Inawezekana kuwa huyu Lissu ni kilaza eeeh?. Mbona kwa Makinda alitamba?
 
Sugu kafanya mikutano jana mbeya. kuna sehemu nilipita wakati naenda airport songwe nilikuta anahutubia watu kama wajube wa nyumba kumi hata 30 hawafiki
 
Sugu kafanya mikutano jana mbeya. kuna sehemu nilipita wakati naenda airport songwe nilikuta anahutubia watu kama wajube wa nyumba kumi hata 30 hawafiki
Ndio maana nimesema wanaichezesha kamari ukawa kwa manufaa ya kundi fulani ambalo bado haliamini kwamba uchaguzi umekwisha
 
Hoja yoyote yenye mbolea kwa taifa haiwezi kufichwa na bunge live.
Kila media itairipoti bila kusubiri bunge live. ..kwani kabla ya bunge live kulikuwa hakuna hoja?
Hiyo ni saws na kusema hata simu za mkononi zikizuiwa hakuna Shida kwani mbona zamani hazikuwepo.
Kila jambo na wakati wake
 
Hiyo ni saws na kusema hata simu za mkononi zikizuiwa hakuna Shida kwani mbona zamani hazikuwepo.
Kila jambo na wakati wake
No cm za mkononi sio siasa wala huwa hatupigi kampeni iLife kuteuliwa kununua cm[emoji2] [emoji1]
 
Upo gheto Kwa Lugumi ? Lakini unakula Kwa Dau wa NSSF na wakati mwingine unashinda kwenye mabehewa chakavu ya Mwakyembe ukivizia wapita njia wenye kutaka vibali vya sukari uwapige, Tambua kuwa Live si tatizo bali Tatizo ni Pesa ya Live ilikuwa haifiki TBC ilikuwa inapigwa na wajanja alipoingia Magufuli wakajuia litakuwa JIPU ndipo wakaenda kumdanganya afute live ili wapate mda wa kufuta ushahidi huku wakiwahadaa Watanzania kuwa ni gharama kwenda live , Pesa zilizopigwa kwenye Ujenzi wa daraja la Kigamboni na pesa za Chenji ya Bunge la katiba na ile ya Rada kama zisingeliwa na Wewe na watu wako zingetosha kulipia Live hata miaka 30, kivuko cha milion 800 kilinunuliwa Kwa bilion 8 sasa ni kibovu kimekuwa makazi ya panya Kama mabehewa wa Mwakyembe , Nchi hii kuna Vioja Richmond ni ya Kikwete lakini miaka yote mmeeneza propaganda kuwa Lowasa yumo , Escrow, IPTL , Nani kafaidika na huo ufisadi ? Lugumi yupo busy kuwasahaulisha Watanzania hivyo kuna mbinu za kila aina zinakuja mpaka Lugumi asahaulike kabsa .
 
Upinzani umeishiwa charge! Tundu Lissu naye kawa bubu hasa katika bunge hili ambalo Dk Tulia ni Naibu Spika. Inawezekana kuwa huyu Lissu ni kilaza eeeh?. Mbona kwa Makinda alitamba?
Babaako kasema kilaza walikuwa wenye Div 4 lakini Mwanae Jesca nae ana Div 4 lakini yeye kachomolewa kwenye ukilaza, hata Akina kibajaji , Profesa maji marefu sasa ni Wasomi kuliko hao wanafunzi na wao si vilaza , ccm kuna Wasomi wengi sana akina Mzee Lukuvi , Aganes Marwa , goodluck kombani , na wenzao wengi hao ni Wasomi wakubwa mda si mrefu watapata PhD .
 
Safi sana!!!
 
Wakipwaya furaha kwako, inakuuma nini?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…