Wacha ujinga wako nani kakwambia ni watoto wa maskiniHili ndo swali sijaona majibu yake bado, watu midomo mireefu, majibu hakuna. Watuambie ilikuwaje vijana zaid ya 7000 watoto wa masikin, wakafukuzwa kama Mbwa na askar wenye silaha za moto usiku usiku, bunge la CCM likabariki na kuwafukuza UKAWA nje, wakat chuo hicho hicho kuna watu wasio na sifa mpaka leo wapo?
Hoja ni kipi wananchi wanakihitaji kwa sasa baada ya miezi sita tangu uchaguzi mkuu?Ni kweli kabisa Ukawa (upinzani) wa sasa ni tofauti na ule wa kina slaa na Zitto.
1. Upinzani wa akina Zitto na slaa ulikuwa ni wa kiwanaharakati.
2. Upinzani wa sasa (ukawa) ni wakiutawala. Hivyo Ukawa unajiamini kuwa Wao wanauwezo zaidi wa kiuongozi kuliko hii serikali ya "HAPA KASI TU" na huo ndio ukweli ulivyo.
Elewa upinzani unaojijenga kwa kutegemea kutunga hoja hao hawajakamilika kiuongozi.
Upinzani unajiamini kiuongozi huo unategemea kujijenga kimipango zaidi.
Msalimie Jesca na umuulize... AMEFIKAJE UDOM?

Ndio maana tulikataza mwenge usiwepo,, umejiona ambavyo unaakili sawa na jesca,, ninyi watoto mliopatikana kwenye mkesha wa mwenge mnasumbua sana,, haya futa haraka aalaa,, nenda kale,,,,Ahsante, Lakini huenda ujinga kwako sio ujinga kwa watanzania milioni 45.[emoji2]
Ndio CCMNdio nini
Kamuulize MboweJesca amakweli kisayansi mtoto anafuata akili za nani baba au mama
Upo ndotoniNdio CCM
Sasa ww kilaza kwa akili yako unadhani kuna mtu serious atampeleka mtoto wake akasome special programme ya kuja kuwa mwalimu? yani mtu asimlipie mtoto wake form V na VI aje aende chuo kikuu akasome Proffesion zinazolipa amwache anatanga tanga na diploma za ualimu, hiv ni kwa nin ninyi ni wajinga namna hii? sababu hata kama ni kutetea chama hii level imezidi.Wacha ujinga wako nani kakwambia ni watoto wa maskini
Kama mama yako alivyo mjinga na tahira.Umeandika ujinga mtupu.
Mkuu we kweli kilaza tena siyo kilaz ni kiazi kilicho oza,Mkuu unaonekana ulidumaa akili ukiwa tumboni mwa mama yako..upinzani upi huo unaozungumzia upinzani wa kuzungusha mikono..kapimwe akiliNi kweli kabisa Ukawa (upinzani) wa sasa ni tofauti na ule wa kina slaa na Zitto.
1. Upinzani wa akina Zitto na slaa ulikuwa ni wa kiwanaharakati.
2. Upinzani wa sasa (ukawa) ni wakiutawala. Hivyo Ukawa unajiamini kuwa Wao wanauwezo zaidi wa kiuongozi kuliko hii serikali ya "HAPA KASI TU" na huo ndio ukweli ulivyo.
Elewa upinzani unaojijenga kwa kutegemea kutunga hoja hao hawajakamilika kiuongozi.
Upinzani unajiamini kiuongozi huo unategemea kujijenga kimipango zaidi.
Msalimie Jesca na umuulize... AMEFIKAJE UDOM?
Mkuu wewe saizi yako ni kuuza line za mtandao wa tigo..kama mdomo mrefu unao wewe.Kuhusu Jesca kufika chuo kikuu nenda TCU au ukamulize mwenyewe atakupa majibu stahiki.Hili ndo swali sijaona majibu yake bado, watu midomo mireefu, majibu hakuna. Watuambie ilikuwaje vijana zaid ya 7000 watoto wa masikin, wakafukuzwa kama Mbwa na askar wenye silaha za moto usiku usiku, bunge la CCM likabariki na kuwafukuza UKAWA nje, wakat chuo hicho hicho kuna watu wasio na sifa mpaka leo wapo?
Jesca amefikaje chuo kikuu?
Umeandika ujinga mtupu.
Vp mkuu jesca hajambo?
Wajukuu wa mwendo kasi wapi kazini, ila tulikuwa tunamkumbusha Baba wa mwendo sukari inashuka bei lini?
Gari la Mwendokazi
Duh! Hadi kuna thread za MwendoKasi?
Jesca naye ni kilaza amefikaje chuo kikuu
Kweli siku hizi Chadema imeishiwa watu wa kujibu hoja ....sasa hapa mmejibu nini.?Tunamshukuru baba jesca kauli yake ya vilaza itaongeza mashabiki wa ukawa.
Sawa punga la lumumba, ila tunahitaji majibu Jesica alifikaje chuo kikuu na div IV 30, wakat watoto wa masikin wamefukuzwa na Mbwa na polisi kama wahain. Hahaaa...hahaaMkuu wewe saizi yako ni kuuza line za mtandao wa tigo..kama mdomo mrefu unao wewe.Kuhusu Jesca kufika chuo kikuu nenda TCU au ukamulize mwenyewe atakupa majibu stahiki.
Kupwaya kuna maana pale inashindikana kujaza eneo au umbile husika kulingana na mahitaji rasmi.Kupwaya kwani ukawa ni kiatu au nguo. We tulia kila mmoja afanye yake tutaheshimiana tuuuu