Hawana ubunifu ndio kuna wavunja kanuni na hilo haliwazui kufanya shughuri za msingi katika namna best yenye kuleta POSITIVE results na kuamsha aina mpya za ubunifu kama ambao CCM ametuletea...ambao kuna watu wameufuata kwa usahihi lakini kuna watu wamevunja kutokufuata kanuni hizo.Mmmmmmm, unadhani UKAWA wajinga wajiingize kwenye mtego?
Ukawa ni mdudu gani?
Hii ndio ipo lakini haikufungi kukosa ubunifu wa kuadress mambo yenu katika njia yenye ufundi na ubunifu wa hali ya juu sana....CUF wamejaribu juzi kufanya japo kidogo lakini wamefikisha candidate wao mikononi mwa Umma.Soma hapa kwa nini UKAWA wanaonekana kuzubaa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-nia-ya-kugombea-urais-mtegoni-new-post.html
Mikausho ya UKAWA,CCM wanaumia