UKAWA Makongolosi waanza kuchana bendera

UKAWA Makongolosi waanza kuchana bendera

Mbeya na Chunya mumeshawanywesha pombe na viroba watu tayari kwa kufagia na kudeki barabara na kufanya vituko mabarabarani?

Lowasa atakuwa kakaa mahali anasubiria aambiwe mzee tayari washakolea viroba na pombe njoo sasa!! ndio aje mbeya na Chunya.Ninyi ndio mnamchelewesha.

Kitu mahaba mbaba!
 
watu wengne hivi tuliopo humu jf ni mapoyoyo sio! eti mimi nipo makongolosi na ni ngome ya ccm halafu anajichanganya nilimpigia simu dada mmoja nikamuuliza hbr za mabadiriko! come on! jifunzeni propaganda bhana aaaah! tena usirudie tena kudanganya.VIVA UKAWA
 
Niko makongolosi saivi, wanaichukia ccm hakuna mfano.....na kwa taarifa tu makongolosi wamejitengenezea bendera kubwa sana ambayo haijawahi kuoneka katika miji yote Tanzania....

Picha ya Bendera Please
 
Mimi ukawa damu lakini naamini Makongolosi ni ngome ya Magufuli. Hii nikitokana na barabara maarufu sana kutajwa tajwa na Magufuli bungeni. Hiyo barabara ya makongolosi nyahuwa Chunya ndio icon ya kazi ya Magufuli. Na kuna siku nimekosea namba nikapiga kwa dada mmoja akasema yuko Makongolosi nilipomuuliza vipi huko mabadiliko akasema huko ni Magufuli Ukawa hawajulikani kabisa na point ni hiyo barabara
hiyo pia ipo kigoma wanakwambia kitendo cha rais wa awamu ya 4 JK kuikumbuka kgma kwa kutujengea barabara inayounganisha mkoa wa Tabora plus daraja la malagaras. bas shukuran zao za dhati ni kumpigia kura MAGUFULI kama heshima kwa JK. ila ubunge wanakwambia kwa kgm mjini n ZITTO
 
Mimi ukawa damu lakini naamini Makongolosi ni ngome ya Magufuli. Hii nikitokana na barabara maarufu sana kutajwa tajwa na Magufuli bungeni. Hiyo barabara ya makongolosi nyahuwa Chunya ndio icon ya kazi ya Magufuli. Na kuna siku nimekosea namba nikapiga kwa dada mmoja akasema yuko Makongolosi nilipomuuliza vipi huko mabadiliko akasema huko ni Magufuli Ukawa hawajulikani kabisa na point ni hiyo barabara
hiyo pia ipo kigoma wanakwambia kitendo cha rais wa awamu ya 4 JK kuikumbuka kgma kwa kutujengea barabara inayounganisha mkoa wa Tabora plus daraja la malagaras. bas shukuran zao za dhati ni kumpigia kura MAGUFULI kama shukran kwa JK. ila ubunge wanakwambia kwa kgm mjini n ZITTO
 
Niko makongolosi saivi, wanaichukia ccm hakuna mfano.....na kwa taarifa tu makongolosi wamejitengenezea bendera kubwa sana ambayo haijawahi kuoneka katika miji yote Tanzania....

BAVICHA bwana mna hoja za hovyo kweli kwani bendera inatengenezwa na watu wangapi?
 
Barabara zinajengwa kwa kodi zetu, hivyo awaye yote asijisifu kuwa kajenga yeye!
 
BAVICHA bwana mna hoja za hovyo kweli kwani bendera inatengenezwa na watu wangapi?

Bendera yaweza kutengenezwa na mtu mmoja......kwa taarifa tu tena mitaa 9 ya makongolosi ni mtaa mmoja unaongozwa na ccm
 
kitendo cha mgombea kupitia ukawa edward luwasa kuonekana hatakuja makongolosi chunya kimezua tafran mji mdogo wa makongolosi kupelekea wapenzi wa chama hicho kushusha bendera na kuanza kuinadi ccm ikumbukwe mji mdogo wa makongolosi ndio kitovu cha upinzani chunya na ndio kilitarajiwa kumbeba mgombea ubunge jimbo la lupa kupitia ukawa Njelu kasaka dhidi ya mwambalaswa..ukawa shtukeni mnazama huku..

Hilo litakuwa tishio la kisanii la kutishia nyau toka kwa kibabu Njelu Kasaka kumtishia Lowassa kuwa lazima aende maana Njelu kasaka ana hali ngumu mno.

Ni kama anamshinikiza Lowasa kwamba njoo unisaidie vinginevyo nitakufanyia kitu mbaya.
 
MIMI NIPO HAPA MATUNDASI, KUTOKA HAPA MATUNDASI MPAKA MAKONGOROSI NI KM 18 TU, HIZI HABARI ZA KUSEMA CCM KAMBI YAO NI MAKONGOROSI NI UZUSHI, MAHA MATUNDASI TU DIWANI ANAYE GOMBEA KUPITIA CCM, BILA UWEPO WA ASKARI HAFANYI KAMENI, NA WENGI WAO WANAO JAA NI WATOTO WA SHULE YA MSINGI KWASABABU BAADA YA HAPO HUGAWA JUICE ZA AZAM.

MAKONGOROSI NDIO KABISA, NIMEENDA MARA TATU NZIMA, HAKUNA KAMPENI ZINAZO ENDESHWA NA CCM, KWASABABU NI KAMA WAMEKATA TAMAA HIVI. HIVYO NI CHADEMA NDI WAMEJAA HAPO, NA SIO CCM.. HATA MAGUFURI ALIPO FIKA CHUNYA HAKUGUSA MAKONGOROSI, BALI ALIISHIA CHUNYA.

KUHUSU BARA BARA BARABARA YA LAMI IMEISHIA CHUNYA MJINI, KUTOKA CHUNYA ALMOST KILOMETRE 32, NI VUMBI, UNATOKEA cHUNYA, UNAPITA LUPA, KISHA MATUNDASI MPAKA MAKONGOROSI NI VUMBI TU. KWAHIYO MSIWADANGANYE WATANZANIA.

WATU WA CHUNYA NA VIUNGA VYAKE KUWENI WAPOLE MUHESHIMIWA RAISI ATAINGIA HAPO NA KUFANYA KAMPENI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom