UKAWA Makongolosi waanza kuchana bendera

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
216
kitendo cha mgombea kupitia ukawa edward luwasa kuonekana hatakuja makongolosi chunya kimezua tafran mji mdogo wa makongolosi kupelekea wapenzi wa chama hicho kushusha bendera na kuanza kuinadi ccm ikumbukwe mji mdogo wa makongolosi ndio kitovu cha upinzani chunya na ndio kilitarajiwa kumbeba mgombea ubunge jimbo la lupa kupitia ukawa Njelu kasaka dhidi ya mwambalaswa..ukawa shtukeni mnazama huku..
 
Tulia kamanda atakuja tu uwe na amani.
 
mkuu lowasa ye na miji tu vijijini hana shida na hizo kura
 
Huyo ni rais wa wanamjini katani na vijijini hataki kura zenu chache hakuna mafuriko kwanzo uko.
 
lowasa muda si mrefu atakuwa mbeya. vuteni subira wana.chunya...

Mbeya na Chunya mumeshawanywesha pombe na viroba watu tayari kwa kufagia na kudeki barabara na kufanya vituko mabarabarani?

Lowasa atakuwa kakaa mahali anasubiria aambiwe mzee tayari washakolea viroba na pombe njoo sasa!! ndio aje mbeya na Chunya.Ninyi ndio mnamchelewesha.
 
Wale wa Mkuranga mliwanywesha mkojo wa kuku? hizi tabia za kugawa pombe na vyakula mnazo nyie.
 
kitendo cha mgombea kupitia ukawa edward luwasa kuonekana hatakuja makongolosi chunya kimezua tafran mji mdogo wa makongolosi kupelekea wapenzi wa chama hicho kushusha bendera na kuanza kuinadi ccm ikumbukwe mji mdogo wa makongolosi ndio kitovu cha upinzani chunya na ndio kilitarajiwa kumbeba mgombea ubunge jimbo la lupa kupitia ukawa Njelu kasaka dhidi ya mwambalaswa..ukawa shtukeni mnazama huku..

Ondoa hofu. Alipokua Mara watu kutoka Sirari walihisi asingeenda Sirari (Mpakani mwa Kenya na Tanzania) kwa kua ratiba yake ilikua inasoma kama ifatavyo:
1. Mugumu, Serengeti - Uwanja wa Sokoine
2. Nyamongo - Jimbo la Tarime Vijijini
3. Tarime Mjini

Lakini kwa busara yake Mheshimiwa Lowassa alifanya Mikutano kama ifatavyo:-
1. Mugumu, Serengeti (Jimboni)
2. Nyamongo - (Jimbo la Tarime Vijijini)
3. Sirari - (Jimbo la Tarime Vijijini)
4. Tarime Mjini (Jimboni).

Watu wa Sirari walitendewa haki kama mtakavyotendewa haki hapo Makongolosi.
 
Vijijini ili akaugue Mafua? tutapiga deki udongo kweli bila kuwepo rami ndugu?
 
Mimi ukawa damu lakini naamini Makongolosi ni ngome ya Magufuli. Hii nikitokana na barabara maarufu sana kutajwa tajwa na Magufuli bungeni. Hiyo barabara ya makongolosi nyahuwa Chunya ndio icon ya kazi ya Magufuli. Na kuna siku nimekosea namba nikapiga kwa dada mmoja akasema yuko Makongolosi nilipomuuliza vipi huko mabadiliko akasema huko ni Magufuli Ukawa hawajulikani kabisa na point ni hiyo barabara
 
Mimi ukawa damu lakini naamini Makongolosi ni ngome ya Magufuli. Hii nikitokana na barabara maarufu sana kutajwa tajwa na Magufuli bungeni. Hiyo barabara ya makingolosi nyahuwa Chunya ndio icon ya kazi ya Magufuli. Na kunasiku nimrkosea namba nikapiga kwa dads mmoja akasema yuko Makongolosi nilipomuuliza vipi huko mabadiliko

Niko makongolosi saivi, wanaichukia ccm hakuna mfano.....na kwa taarifa tu makongolosi wamejitengenezea bendera kubwa sana ambayo haijawahi kuoneka katika miji yote Tanzania....
 
Mbeya na Chunya mumeshawanywesha pombe na viroba watu tayari kwa kufagia na kudeki barabara na kufanya vituko mabarabarani?

Lowasa atakuwa kakaa mahali anasubiria aambiwe mzee tayari washakolea viroba na pombe njoo sasa!! ndio aje mbeya na Chunya.Ninyi ndio mnamchelewesha.

mwaka huu mtasema maneno yote lakini hamtoki. ccm inapaswa kuwekwa makumbusho kama KANU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom