Yaani wanaukawa nawashauri sana kama ni Kiki mngetafutia hata hapa kwenye matetemeko kuliko kwenye kudai demokrasia. Mngetafutia UMOJA WA KUSAIDIA TETEMEKO BUKOBA. UKUBU, Hapa mngepata Kiki na wananchi wangewaelewa zaidi kuliko ukuta wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.