UKAWA kwafukuta mgawanyo wa majimbo mapya!

UKAWA kwafukuta mgawanyo wa majimbo mapya!

sindicate

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
233
Reaction score
113
Taarifa za vikao vinavyoendelea vya ukawa katika Mchakato wa kugawana majimbo ya uchaguzi mapya yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi hivi karibuni kuna kila dalili ya kusababisha mpasuko mkubwa.
Mtoa habari hz ameeleza kusikitishwa na ubabe wa Mgombea urais wa Ukawa kuyataka baadhi ya majimbo wapewe wafuasi wake waliojiengua CCM kwa madai kwamba atawawezeshi kushinda kwa kuwapa
Fedha ya kampeni lakini ni wazi
Wazi CUF hawajaafikiana na wangependa
Wapewe baadhi ya majimbo.
 
Mgawanyiko uko CCM tena kwa Sana. Angalia mchakato WA kura za maoni ubunge mnavyotoana ngeu...
 
Unahangaika tu si ukalale au umetumwa?? Yani ya chama chako yamekushinda unashadadia ya UKAWA ovyoooo
 
Weye unagombea jimbo lipi kati ya hayi mapya?? Kama ni ccm, pilipili usizozila zakuwashia nini? Angalia, mwaka huu hakika mta..jamba sana tu. Usimtakie jirani mabaya, je yakikurudi. Mmeweza kumng'oa mmkuu, sasa jitahidini kusambaratisha.
CCM, mbona mna roho mbaya hivyo?? Upinzani haupo kuharibu ni kuwafanya mtende vyema tu. Mngelitenda vyema kwa wananchi kwani nani angewagusa?? Miaka 54+ bado hamjipimi??
 
nasikia nchimbi anataka agombee kibamba kwa tiketi ya ukawa.
sasa mnyika hataki kusikia hilo,
 
nasikia nchimbi anataka agombee kibamba kwa tiketi ya ukawa.
sasa mnyika hataki kusikia hilo,

Nchimbi angegombea kule kwa Komba angepita kiulaini tu. Kumreplace Mnyika is next to impossible!
 
Pale mwanzo mlikuja na uzushi kama huu UKAWA wakamaliza salama sasa mmeanza tena. Mgawanyiko upo ccm si UKAWA hatua waliyofikia ukawa huwezi kuwagawa tena
 
Kwann hampendi kuambia kweli siasa mnaikurupikia siasa ni hoja kwa hoja vp bwanamdogo huwezi log out wajenga hoja wajibizane kwa hoja kashndwa Msigwa na Pro Safari siasa si lelemama namsipoangalia kwameneno yenu yasiyokubalika kimaadili mtaenda jela kabla Dr Magufuli hajaapshwa
 
Back
Top Bottom