UKAWA kuunda chama kipya kiitwacho NCC

UKAWA kuunda chama kipya kiitwacho NCC

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
2,215
Reaction score
329
Habari wadau..

Katika kupeleka pigo kubwa kwa ccm ,umoja wa vyama vitatu vikuu vya upinzani upo hatua za mwisho tayari kwa kusajili chama kipya cha muungano na kuua vya sasa.

Chama hicho kitaitwa NCC means... N for NCCR, C for CUF and C for CHADEMA.

Hakika nguli hawa wametisha.... Ccm bye bye..... Kakutane na akina KANU
 
mbona combination hiyo hailet sense ktk falsafa ya chama, falsafa/itikad ya chama lazma iendane na maana ya jina la chama. {Mtizamo wangu}

Habari wadau..

Katika kupeleka pigo kubwa kwa ccm ,umoja wa vyama vitatu vikuu vya upinzani upo hatua za mwisho tayari kwa kusajili chama kipya cha muungano na kuua vya sasa.

Chama hicho kitaitwa NCC means... N for NCCR, C for CUF and C for CHADEMA.

Hakika nguli hawa wametisha.... Ccm bye bye..... Kakutane na akina KANU
 
Kabla ya kukisajili musimsahau na yule mzee wa motomoto moto
 
Wakiite hivyo hivyo UKAWA.
Hili jina limepenya Kabisa Mioyoni mwa wananchi
hili jina limeleta usumbufu kusajili... C unajua msajili n kada wa ccm?

Amehoji eti chama cha katiba hakipo duniani.... Mpuuz kweli huyu
 
CCM means Chama cha Mapinduzi; CHADEMA means Chama Cha Demokrasia na Maendelea; CUF means Civic United Front; Na vyote Vina Maana na Ujumbe kwa Jamii; Swali langu kwako Mleta Mada NCC kirefu chake na Maana yake nini??
Lumumba typically..... Awamu hii mtachezea fimbo sana... Tulia dawa ikuingie
 
Habari wadau..

Katika kupeleka pigo kubwa kwa ccm ,umoja wa vyama vitatu vikuu vya upinzani upo hatua za mwisho tayari kwa kusajili chama kipya cha muungano na kuua vya sasa.

Chama hicho kitaitwa NCC means... N for NCCR, C for CUF and C for CHADEMA.

Hakika nguli hawa wametisha.... Ccm bye bye..... Kakutane na akina KANU

Njia ya Mwongo ni Fupi: Mleta mada tunajua CCM means Chama cha Mapinduzi; CHADEMA means Chama Cha Demokrasia na Maendelea; CUF means Civic United Front; Na vyote Vina Maana na Ujumbe kwa Jamii; Swali langu kwako Mleta Mada NCC kirefu chake na Maana yake nini?
 
njia ya mwongo ni fupi: Mleta mada tunajua ccm means chama cha mapinduzi; chadema means chama cha demokrasia na maendelea; cuf means civic united front; na vyote vina maana na ujumbe kwa jamii; swali langu kwako mleta mada ncc kirefu chake na maana yake nini?
ncc=national congress conversion
 
Lumumba typically..... Awamu hii mtachezea fimbo sana... Tulia dawa ikuingie
Tuambie maana ya NCC, si mambo ya Lumumba hapa; lete uzi wenye mashiko si kuandika andika bila uchunguzi wowote eti NCC, sasa lini hata ungekuwa muungano wa vya usiwe na ujumbe; Look kwa Chadema unasema wamechukua C maana yake Chama; That is not enough to call the masage of the political party, ndo maana nasema ni Uongo .
 
I wish wasikiite kwa jina hilo...maana watakuwa wanalimit vyama vingine vitakavyo ondoa tongotongo kujiunga...
 
Habari wadau..

Katika kupeleka pigo kubwa kwa ccm ,umoja wa vyama vitatu vikuu vya upinzani upo hatua za mwisho tayari kwa kusajili chama kipya cha muungano na kuua vya sasa.

Chama hicho kitaitwa NCC means... N for NCCR, C for CUF and C for CHADEMA.

Hakika nguli hawa wametisha.... Ccm bye bye..... Kakutane na akina KANU

Wakiite CNC, itapendeza zaidi. NCC kuna wajinga watakitafsiri zaidi kama NCCR. CCN hailipi maana ukijing'ata ulimi unaweza sema sisiemu.
 
Itakuwa ujinga mkubwa kwa chadema kufanya hivyo. Chadema kimefanya kazi miaka mingi kufika hapo kilipo. Na ni hatari sana kwani ikianza mafarakano ni rahisi nguvu ya chadema kufa katika chama kipya tofauti na kama itakuwa muungano tu.
 
Njia ya Mwongo ni Fupi: Mleta mada tunajua CCM means Chama cha Mapinduzi; CHADEMA means Chama Cha Demokrasia na Maendelea; CUF means Civic United Front; Na vyote Vina Maana na Ujumbe kwa Jamii; Swali langu kwako Mleta Mada NCC kirefu chake na Maana yake nini?

Mbona umeainisha kirefu na maana yake alafu unauliza tena?
 
Habari wadau..

Katika kupeleka pigo kubwa kwa ccm ,umoja wa vyama vitatu vikuu vya upinzani upo hatua za mwisho tayari kwa kusajili chama kipya cha muungano na kuua vya sasa.

Chama hicho kitaitwa NCC means... N for NCCR, C for CUF and C for CHADEMA.

Hakika nguli hawa wametisha.... Ccm bye bye..... Kakutane na akina KANU

Pure lies, hivi unajua process ya kuanzisha chama kipya cha Siasa Tanznia, taking into consideration general election is next year October 2015.

Wewe utakuwa wakara wa shetani (read Lumumba Book 7 FC)
 
Back
Top Bottom