UKAWA Kutapakaa nchi nzima

UKAWA Kutapakaa nchi nzima

Ati wanasema ENL ni pandikizi la kuua UKAWA, mwache aue lakini tumesikika nchi nzima. Kuin'goa UKAWA ndani ya mioyo ya Watz ni kama kuving"oa virusi vya ukimwi mwilini {Simaanishi vibaya) Ila ni jinsi hata wataalam wameshindwa hivyo ccm mtalia Pooo
 
mbona kunavfaa umeviacha. silinde, kigaiya, hynes, kasumbai, etc
 
Swali la kamanda linasadifu ukamanda wake, swali lako limesadifu ugamba wake! Next time uliza swali kikamanda utaeleweka kamanda tunafahamiana humu kwa maandishi sio kwa kuonana tu!

Ndiyo mkuu askari vitani hutambuana kwa ishara. Huyu jamaa anauliza kikebehi.
 
He! Nyie UKAWA hata huruma hamna yaani ndio mmepania kuwaangamiza kabisa hawa machichiemu! toba jamani waachieni angalau kidogo wapumue maana mmewabana mpaka kwenye koloaka! Wanashindwa hata kujisaidia haja ndogo!
 
mfwile nkikuru mwe,ndagha fijo wandu wa kyala,ndagha muwombile
 
Nashauri edo yeye asiende kwenye kampeni abaki ofisini akipanga safu ya uongozi
 
Kamanda wenje na silinde na dogo janja wasiachwe nyuma. Jussa pia
 
Safi sana huu mwaka lazima kieleweke. ccm wajiandae kuwa wapinzani wa kudumu.
 
vip Bawacha, Bavicha? mtazamo wako ni mzuri
 
He! Nyie UKAWA hata huruma hamna yaani ndio mmepania kuwaangamiza kabisa hawa machichiemu! toba jamani waachieni angalau kidogo wapumue maana mmewabana mpaka kwenye koloaka! Wanashindwa hata kujisaidia haja ndogo!

Dawa ya nyoka ni kukata kichwa tu, hawa maccm wameshainajisi nchi vya kutosha no merci for criminals.
 
Kweli ukawa imeolewa na Lowassa..

There is what is called intellectual slavery or thinking slavery. A slave must be whipped into obedience not through kindness. When a slave opens his/her mouth, all what has to come out is "yes, I hear your". He/ she is not supposed to judge or suggest a decision. He/she is supposed to move hands and feet not his/her head. Are we now in that state of mind! Can't we have rational thinking at individual level! Just thinking aloud.
 
mi ninaomba nipelekwe kigoma kaskazin na kigoma mjin nikasambaritishe jina lililoaaniwq tz kupita majina yote
 
Lowassa ... Na CCM yake ... na hiyo aliyoicha .. ndugu wawili katika pambano KKUUUUU !
 
Vizur rakin lowasa akifeli ukawa imekwisha.
 
Back
Top Bottom