UKAWA kusambaratika Kesho

ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha ukawa imechongwa.nayo ni kuingiza suala la kadhi kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu

hivi leo ni lini? Bado nasubiria......
 
Ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa.nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu


Duh kwa haya kweli itasambaratika!





CC. Dr FaizaFoxzy
 
utumbo mtupu....

kuendekeza njaa kutawaumiza vijana!
 
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.

Mahakama ya kadhi ni kwaajili ya waislam tu.... Wakristo haitowahusu.
 
Sitta kanusuru ndoa ya ukawa kwa kutupilia mbali maoni juu ya uanziswhaji wa mahakama ya kadhi... afadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…