Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,051
- 34,788
Nina uhakika watarudi tu
Sioni kama watakomaa muda mrefu sana
Mkuu Bulldog, bila malalamiko yao kushughulikiwa basi kurudi kwao itakuwa ni kupoteza muda tu na MACCM ndiyo yatapata nguvu ya kutoa matusi ya nguoni, kashfa, kejeli na kuzomea kwa nguvu zote ili kukwamisha upatikanaji wa katiba ambayo Watanzania wengi tunaitaka.