UKAWA kurudi bungeni

hivi lugumi ina maslahi mapana kwa taifa zaidi ya hii bajeti inawaathiri wananchi wa tanzania moja kwa moja??
 
Mie naona huyo ni gia ya kurudi tu hakuna cha lugumi wala mjomba wake lugumi
 
Hahahahahahaha
Teh Teh Teh Teh
 
Mbowe anapotosha wenzake kwa ubabe wake. Aibu gani hii. Tunarudije sasa? Kwa kasababu hako kadogo. Poor UKAWA.
katika hili ukawa wameshindwa kusimamia msimamo wao. inavyoonekana kuna ukweli posho ndo chanzo. yaleyale ya wagonga meza....kama walisusia posho za bunge la katiba wanashindwa nini kiposho cha bunge ilihali mishahara yao wanapata?
 
Kwa hiyo wanataka kutuambia kuwa mambo wanayoyataka wao ndio yana maslahi kwa Taifa? Ni utoto uliopitiliza hawana tofauti na watoto ambao hupendi kulia ili wapewe wanachotakan
 
Mi ngoja niwasubiri nione hatima,,, then nitakuja na la kusema baada ya kuwa wao/nyie MMESEMA.
 
Sio kila mjadala una maslahi kwa taifa. Kujadili ujenzi wa sanamu ya msanii diamond au ujenzi wa mnara sehemu JPM alipopigia push-up yote haina maslahi ya taifa
Wewe nadhani tatizo lako hufahamu maana ya mjadala.

Kwa hiyo waliojadili mpaka wakafikia makubaliano ya kuweka sanamu ya askali kwenye makutano ya Samora Avenue na Maktaba Street walikuwa hawajadili suala lakitaifa? Au tatizo lako ni jina la Msanii Diamond?
 
Joto tayari limepanda! Makamanda wameamua kurudi kumuumbua mtu ndani ya Lugumi? Hakuna aliyetegemea hilo, walidhani Lugumi nalo litapita kwa ulaini kama budget fake.
Hii move ni wenye akili tuu ndio wanataielewa, na sio ajabu sasa hivi vile vikao vya usiku vimeanza tena ajenda ni " Wakuda wanarudi tena tufanyeje jamani?"
 
sio mambo yote ndani ya bunge yana maslahi mapana ya kitaifa,wapinzani wako sawasawa
 
Kwahiyo bajeti na Lugumi kwao wao kitu cha muhimu ni Lugumi.

Bajeti inayojadili Barabara,elimu,afya,umaskini wa wapiga kura wao siyo jambo la msingi ila lugumi ndilo la msingi.

Hili ndilo tatizo la kufikiri kwa kutumia masaburi.
 
Wamelewa madaraka tu
Na kwa vile watanzania hasa wanaoshabikia ukawa wanaamini hawana makosa sasa na wao wamejiaminisha kweli kuwa kila siku wako sahihi
Ipo siku wanaowaamini watawakataa pia
 
kuna watu wamewekwa na kambi zote humu wanalipwa pesa kwa ajili hiyo, hata usiumize kichwa zana!
 
Wewe nadhani tatizo lako hufahamu maana ya mjadala.

Kwa hiyo waliojadili mpaka wakafikia makubaliano ya kuweka sanamu ya askali kwenye makutano ya Samora Avenue na Maktaba Street walikuwa hawajadili suala la kitaifa?
Kuna suala la kitaifa NA suala lenye maslahi kwa taifa. Mfano, kuwepo kwa mwenge wa uhuru ni suala la kitaifa (kwa kuwa hauzungushwi jimbo moja tu la uchaguzi, au wilaya au mkoa mmoja), lakini huo huo uwepo wa mwenge hauna maslahi kwa taifa (ndio maana huwezi kusikia bungeni kiongozi wa serikali anawahimiza wabunge wahamasishe wapiga kura kwenda kuusindikiza mwenge, bali kimya kimya utashtukia kiongozi wa serikali ameenda kuwasha au kuzima mwenge)
 
kila kitu kina mwisho wake, kama mmeamua kurudi rudini mkawajibike kususasusa ni tabia za kike
 
mambo yote yanayojadiliwa bunge ni kwa maslahi ya taifa otherwise hakuna maana ya bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…