UKAWA kuongoza Halmashauri zetu ni kudumaza Maendeleo

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Katika Halmashauri zote walizoshinda UKAWA kama kweli kuna 'UKAWA' sasa, hakutakuwa na maendeleo ya maana kutokana na kulazimisha kuzifanyia majaribio Sera zao wakati kuna ILANI MAKINI ya Chama cha Mapinduzi iliyopangiliwa vizuri na kuandikwa na wenye weledi na uzoefu wa kutosha wa kuongoza Nchi hii. Majaribio ya Sera za UKAWA ndio yatazorotesha kabisa Maendeleo na WANANCHI watagundua muda si mrefu kwamba walifanya makosa kuwapa UKAWA Halmashauri hizo kwa kudanganywa na MABADILIKO ya kuzungusha mikono!!
 
Usituimbishe za kale ambazo hazikuvuma na wala hazikupendwa! Hiyo ni dogma tu! Ngoja uone vumbi lao
 
Katika Halmashauri zote walizoshinda UKAWA kama kweli kuna 'UKAWA' sasa, hakutakuwa na maendeleo ya maana kutokana na kulazimisha kuzifanyia majaribio Sera zao wakati kuna ILANI MAKINI ya Chama cha Mapinduzi iliyopangiliwa vizuri na kuandikwa na wenye weledi na uzoefu wa kutosha wa kuongoza Nchi hii. Majaribio ya Sera za UKAWA ndio yatazorotesha kabisa Maendeleo na WANANCHI watagundua muda si mrefu kwamba walifanya makosa kuwapa UKAWA Halmashauri hizo kwa kudanganywa na MABADILIKO ya kuzungusha mikono!!
Tanzania ina kazi kubwa sana kupiga hatua kama bado fikra na uelewa kwa watanzania wengi itaendelea kuwa namna hii. Yaani fikra za huyu bado ni zile zile za enzi za TANU na chama kushika hatamu
 
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!! KIDUMU CHAMA TAWALAAAAAAA!!!!!
 
Katika Halmashauri zote walizoshinda UKAWA kama kweli kuna 'UKAWA' sasa, hakutakuwa na maendeleo ya maana kutokana na kulazimisha kuzifanyia majaribio Sera zao wakati kuna ILANI MAKINI ya Chama cha Mapinduzi iliyopangiliwa vizuri na kuandikwa na wenye weledi na uzoefu wa kutosha wa kuongoza Nchi hii. Majaribio ya Sera za UKAWA ndio yatazorotesha kabisa Maendeleo na WANANCHI watagundua muda si mrefu kwamba walifanya makosa kuwapa UKAWA Halmashauri hizo kwa kudanganywa na MABADILIKO ya kuzungusha mikono!!
Kuwa wakati kila kiungo kiachwe kifanye Kari yake
 
Kwel ww ni mbumbu....hiv kumbe watanzania ni maskin ,na hizo sera za ccm zimetumika miaka Mingi.....maana yake ni kuwa sera za ccm ni mbaya.....
 
We mleta uzi leo umevaa shanga za rangi gani..? Maana we ni mtaalam wa kubadili shanga dada
 
Katika Halmashauri zote walizoshinda UKAWA kama kweli kuna 'UKAWA' sasa, hakutakuwa na maendeleo ya maana kutokana na kulazimisha kuzifanyia majaribio Sera zao wakati kuna ILANI MAKINI ya Chama cha Mapinduzi iliyopangiliwa vizuri na kuandikwa na wenye weledi na uzoefu wa kutosha wa kuongoza Nchi hii. Majaribio ya Sera za UKAWA ndio yatazorotesha kabisa Maendeleo na WANANCHI watagundua muda si mrefu kwamba walifanya makosa kuwapa UKAWA Halmashauri hizo kwa kudanganywa na MABADILIKO ya kuzungusha mikono!!

Leo ninarudia tena kwa mara ya mwisho na sitoongea tena na tena, Kijana pamoja na wenzako pia kama wapo wa namna yako, MUACHE KUTUMIKA VIBAYA NI DHAMBI KUBWA KWA MOLA WAKO.

Watz wamechoka na story za CCM zaidi ya miaka 50 pasipo maendeleo yaliyotarajiwa kulingana na rasimali tulizo nazo.

Ninyi sababu ya matumbo yenu mnataka kudumaza wenzenu, hakika mtalipwa na moto wa jehanamu unawangoja.

Nchi hii watu wanateseka kupitiliza, ukitaka usipost utumbo wako kama huu tena nenda Ma Hospitalini akijionee, Nenda pia katika huduma zingine za kiserikali utakuta bado ni maagizo ya Maisha ya mwanadamu, hakuna jipya ndani ya CCM.

Daima CCM ni mfumo mpana sana ambao hauwezi kumletea Mtanzania MADILIKO YEYOTE YALE ZAIDI YA KUWA MAJANGA TU,tuache unafiki ukiwa kijana maana ukiwa Mzee utakuwa SHETANI KAMA SI JINI.

Maisha ya mwanadamu hayaitaji maagizo, kwani tumesha poteza ndugu,jamaa, marafiki wengi sana sababu ya Viongozi wenye tamaa ya kujilimbikizia wao na familia zao tu.

Leo eti baadhi ya Viongozi hadi wanabebana kama Comedians, mara mwingine kapanda toyo, mara mwingine kakimbilia hospitalini hajui cha kufanya ,...n.k,n.k.

Watz tunataka mabadiliko ya Maisha na sekta zote zinazo tuhusu na siyo Maagizo,majigambo n.k wala maneno mengi yasiyo na vitendo, tumesubiri muda sana.
 
Usitafute riziki kwa muundo huo kijna fanya kazi heshima yako itakuja

lkn kutafuta buku 7 za lumumba kwa kuandika ujinga sio vzr ata mwenyezi mungu unamchukiza
 
Back
Top Bottom