Leo tarehe 27 january 2017. Limeitishwa baraza la madiwani jijini Dar es salaam,ambapo hilo la madiwani litatanguliwa na Kamati ya fedha na Uongozi ya madiwani siku ya leo saa 4 asubuhi,na ndipo saa 6 mchana wataingia kwenye baraza la madiwani.
AGENDA
Agenda ya mkutano huo maalum wa baraza la madiwani ni kujadili Mauzo ya uda,na Matumizi ya fedha za UDA,
Agenda hii inakuja kufutia agizo la Rais kutaka madiwani watoe majibu ya jambo hilo lilokuwa likibishaniwa kwa takribani miaka 2.
IKUMBUKWE
Halmashauri ya jiji la Dar es salaam,inaongozwa na UKAWA,ambapo vyama vyenye uwakilishiwa madiwani vya CHADEMA na CUF ndivyo vyenye madiwani wengi na wenyekutoa maamuzi.
1.Je baraza la madiwani leo litabariki Ufisadi wa mauzo ya UDA na kupokea na kuzitumia biilioni 5.8? Au wataendelea kusimama kidete wakipinga gharama hiyo kiduchu ya mauzo ya UDA na mali zake kama viwanja(mbagala,kurasini,gerezani kariakoo,na karakana pamoja na magari yote kwa bei hiyo?
2.Je ukawa wataingia kwenye mtego wa kutakatisha fedha hizo walizo gomea kuzipokea kwa takribani mwaka mmoja na nusu, kufuatia kashfa ya UDA kutajwa yaliokiukwa waziwazi kwenye ripoti za CAG na kamati ya bunge PAC?
3.Je UKAWA watalamba matapishi yao waliokuwa wakihubiri jukwaani juu ya uuzwaji wa kifisadi wa UDA,kiasi hata mrehemu Masaburi Kukosa UBUNGE UBUNGO kwa kashfa hii?
4.Je UKAWA watatoka naaamuzi ya kumuachia Rais aamue yeye mwenye namna ya kuzifanyia kazi hizo pesa kuepuka kuhalalisha waliokuwa mstari wa mbele leo ndiyo wapitishe?
5.Je UKAWA wataifundisha serikali kuwa UFISADI ni UFISADI tuh,na kwamba kama kila alihujumu mali ya umma akitanguliza fedha benki mengine yanafunikwa yapite?
Muda ndiyo utaamua kuona huko kwenye ukumbi wa jiji Dar es salaam? Kimejiri nini? Na ikumbukwe wote kuhudhuria ji ruksa kwa wananchi na waandishi wa habari!!
Na
Senior councilor Ubungo
B.Jacob