UKAWA kujadili hotuba ya Rais: Ni kuliongopea taifa

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Salaam,

Leo Bunge la Jamhuri linaanza na hotuba ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliyoitoa bungeni.

Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka UKAWA walitoka nje na kupuuza hotuba ya rais.

Maswali;

Je, wanajadili wanalolijua?

Je, wanamtambua John Pombe Magufuli?

Je, nini sababu ya kutoka nje?
 
Salaam,

Leo bunge la jamhuri linaanza na hotuba ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliyoitoa bungeni;

Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka UKAWA walitoka nje na kupuuza hotuba ya raisi.

Maswali;

Je wanajadili wanalolijua?

Je wanamtambua John Pombe Magufuli?

Je nini sababu ya kutoka nje?
Kwani wewe unahisi jibu ni lipi tuanzie hapo?
 
Salaam,

Leo bunge la jamhuri linaanza na hotuba ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliyoitoa bungeni;

Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka UKAWA walitoka nje na kupuuza hotuba ya raisi.

Maswali;

Je wanajadili wanalolijua?

Hapo hatoki mtu yeyote wa UKAWA.Kitakachowakalisha siku hizo tatu unakijua???? POSHO,POSHO,POSHO,POSHO.

Wakose posho ya siku tatu? THUBUTU.Watakaa wawe na cha kuchangia au la.Hatoki UKAWA hapo.
 
Mbona au,unajishuku kama Ulichoacho ni halali ??

Ukawa Agenda yao :
Kupinga Ufisadi

Ccm Agenda yao; :kutipua Majipu
Hapo sasa !!!
 
Wana propaganda wa CCM hamuoni aibu kila siku kuja na hoja za kijinga?
Ukawa walitoka nje kupinga hotuba ya Rais? Ni mjinga tuu anayeweza kusema hivyo. Ukawa hawakutoka Bungeni bali walifukuzwa baada ya kupinga wanaojiita viongozi wa Zanzibar kukaribishwa Bungeni wakati muda wao wa uongozi umeshapita. Hilo hata mtoto mdogo anajua sasa iweje hata hilo linawashinda?
 
Kwani wewe uliye leta hii mada ni mbunge wa CCM? Maana ndio waliokuwa ndani ya bunge, na akili yako inakutuma aliyekuwa ndani ya Bunge ndiye anaijua Hububa ya Rais, da kweli wengine ni viraza sana, hujui kwamba ile Hotuba ilikuwa Live kwenye TV? Pole na
 
Wewe ulishamuona Mahufuli Na Ccm akisimamia
(Kauli mbiu),
NENO kamili ya Kupinga Ufisadi ??

Si Wamekuwa wanadonoa donoa Na kkukimbilia NENO LA Mtaani Majipu ?

Ambalo hata kisheria halitambuliki/halina maana Ya kupinga Ufisadi ????

Hawana Ujasiri huo sana sana wamejitahidi utamsikia rushwa !!!
Najua wewe unamuamini Dr Slaa

Nenda kanuulize wale watuhumiwa wa Ufisadi aliotutajia na Magufuli mkapa kikwete Lowassa Na wengine wengi wap o bungeni wameshughulikiwa ??
Na wengine wanaendelea kipewa vyeo !!

Nikuulize waliomuua Mwangosi ni Mafisadi au ni Majipu ?

Wale wabunge Na chama kilichovuruga Mchakato wa katiba ni Mafisadi au Majipu ??
Mabilion ya fedha yametumika Katiba bado Nina uhakika haitapatikana mpaka Ccm ingolewe !?

Tatizo lenu mnadhani Mtuhumiwa ni ealowassa. Peke
Yakee??

Kadanganye wasio Na taarifa sio Mimi !!
 
Wana propaganda wa ccm Nina haki ya kuwaita mazoba. Hamuoni aibu kila siku kuja na hoja za kijinga?
Ukawa walitoka nje kupinga hotuba ya Rais? Ni mjinga tuu anayeweza kusema hivyo. Ukawa hawakutoka Bungeni bali walifukuzwa baada ya kupinga wanaojiita viongozi wa Zanzibar kukaribishwa Bungeni wakati muda wao wa uongozi umeshapita. Hilo hata mtoto mdogo anajua sasa iweje mazoba ya JF hata hilo linawashinda?

Hivi walikuja wale wa zamani? Mimi nilifikiri walikuja wale wapya na kula kiapo. Pamoja na kufukuzwa ni kwamba walisikiliza na nina imani wanazo nakala za hotuba yenyewe kwa hiyo uwezo wa kuchangia wanao sana.
 
Salaam,

Leo bunge la jamhuri linaanza na hotuba ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliyoitoa bungeni;

Hotuba ya rais imepewa siku tatu kujadiliwa, lakini kumbuka UKAWA walitoka nje na kupuuza hotuba ya raisi.

Maswali;

Je wanajadili wanalolijua?

Je wanamtambua John Pombe Magufuli?

Je nini sababu ya kutoka nje?

Ni vizuri umewakumbusha wakae Mjengoni kama watazamaji na kuchukua Posho! Wawaachie Lumumba wajadili Mipango yao. Kusema kweli kama atatokea atakaye Changia sijui! Anyway wachaa tuwaone kama wanamaanisha wanachoamini au ni zile ,mbinu ya kuuza kwenye Magazeti.
 
Wana propaganda wa ccm Nina haki ya kuwaita mazoba. Hamuoni aibu kila siku kuja na hoja za kijinga?
Ukawa walitoka nje kupinga hotuba ya Rais? Ni mjinga tuu anayeweza kusema hivyo. Ukawa hawakutoka Bungeni bali walifukuzwa baada ya kupinga wanaojiita viongozi wa Zanzibar kukaribishwa Bungeni wakati muda wao wa uongozi umeshapita. Hilo hata mtoto mdogo anajua sasa iweje mazoba ya JF hata hilo linawashinda?

Vipi tena!
Uchaguzi Tanganyika ulikuwa sawa sawia?. Vipi Lowassa alisaini kukubali kushindwa?
Taratibu pamoja na hoja ya Zanzibar nadhani UKAWA walikuwa hawajaridhika na Uchaguzi mzima -uhalali wa Kura ya Zanzibar unatoka wapi kama Uchaguzi ulifutwa?
 
Hivi walikuja wale wa zamani? Mimi nilifikiri walikuja wale wapya na kula kiapo. Pamoja na kufukuzwa ni kwamba walisikiliza na nina imani wanazo nakala za hotuba yenyewe kwa hiyo uwezo wa kuchangia wanao sana.
Ndio maana yake, haki zote za kujadili wanazo tofauti na haya mavivu ya kufikiri yanavyo taka kuaminisha watu. Na nasikia ndio think tanks za Lumumba hizi
 
Wabunge wa UKAWA baada ya kuondoka bungeni walikwenda kumsikiliza rais kupitia matangazo ya radio na TV, labda wataichangia hotuba hiyo kutokana na jinsi walivyoisikia wakiwa nje ya jengo. Nilicheka sana kuwaona jioni wakitaka kuhudhuria sherehe iliyoandaliwa ambayo rais waliyekwepa kumsikiliza akihutubia bungeni alikuwa mmoja wa wageni waalikwa. Lakini kama alivyosema rais, ndani ya bunge kuna watoto wengi hivyo spika na wasaidizi wake wana kazi kubwa ya kuwavumilia.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mkuu ukawa ni chuo cha kufundisha unafiki

Utashangaa yapo bungeni yanatoa Macho tu, hasa kwa kuwa yanataka bosho
 
Mkuu ukawa hawakususia hotuba ya raisi bali walisusia kutomtambua raisi wa zanzibar dr.shein kuingia bungeni akiwa sio raisi halali wa zanzibar na si vinginevyo

Au wewe ni miongoni mwa majipu yanayohitaji kutumbuliwa...???
 
Mkuu Nani huko UKAWA anao huo ujasiri kwa sasa kuutaja UFISADI??

Back
Top Bottom