Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Hii ni akili ndogo, unafiki au zezeta?, binadamu aliye huru kimawazo hawezi kutoa mchango kama huu!
ukawa baada ya kunyimwa posho wanahangaika sana
I'm afraid hoja hii haijakaa vizuri na nirahisi sana kujibiwa kisiasa. BMK linauwezo wa kuongeza ama kupunguza yaliyoko kwenye Rasimu kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi wa Tanzania...Wakuu katika kuonyesha dhamira ya dhati kuelekea upatikanaji wa katiba ya Wananchi,Mapema leo Mawakili wa Umoja wa katiba ya Wananchi wakiongozi na Wakili msomi Twaha Taslima watafungua kesi ya kikatiba katika mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam kutaka Tafsiri ya kisheria kuhusiana na Bunge maalum la katiba kujadili mambo yaliyo nje ya rasimu ya katiba.
-My take,Huu ni mwanzo mzuri hasa kuzingatia mbinu za CCM kupindua msingi wa rasimu ambyo msingi wake ni maonh ya wananchi.
-Ha ha ha ha Unajitekenya nakucheka mwenyewe,Sasa mahakama ndo itapiga kura bungeni?.
Upotezaji wa mda na hela bure.
Hata kama watashinda bado wabunge wengi wakagoma kupitisha kipengele cha muundo wa muungano,mahakama haiwezi kuwalazimisha.