UKAWA is over 100% to win the bygond election

UKAWA is over 100% to win the bygond election

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
UKAWA\CHADEMA have manganive percent over the bygond election due to fagput from the people. UKAWA perford is highly bearn by many politicians as well as folcutians.Lowasa is beemed by sugh and fuog from different mattionerv.VIVA UKAWA!!
 
Aisee hii English ni ngumu mno kumesa,inatisa.
 
UKAWA\CHADEMA have manganive percent over the bygond election due to fagput from the people. UKAWA perford is highly bearn by many politicians as well as folcutians.Lowasa is beemed by sugh and fuog from different mattionerv.VIVA UKAWA!!

Heheee kiingereza cha kitariano bana!
 
UKAWA\CHADEMA have manganive percent over the bygond election due to fagput from the people. UKAWA perford is highly bearn by many politicians as well as folcutians.Lowasa is beemed by sugh and fuog from different mattionerv.VIVA UKAWA!!

Mmh! Nia yako ilikuwa ni kuonyesha umahari wa lugha; ama ilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa wanamabadiliko?
 
Mmh! Nia yako ilikuwa ni kuonyesha umahari wa lugha; ama ilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa wanamabadiliko?

lengo ni kufikisha ujumbe kwa wanamabadiliko lakini inawezekana baadhi tuna upungufu kidogo katika vocabular
 
Yeah braza and we know kinagaubagally and fikally that Lowassa iz our next president.#PureEnglish.
 
hii ni kuwachanganya ccm maana hamna jinsi tena. hamtawaona humu wakichangia.
 
UKAWA\CHADEMA have manganive percent over the bygond election due to fagput from the people. UKAWA perford is highly bearn by many politicians as well as folcutians.Lowasa is beemed by sugh and fuog from different mattionerv.VIVA UKAWA!!

Hii pidgin English hatareeeeee!!
 
Na kwa mazingira ya kuhesabu kura vituoni na kubandika matokeo naamini "bao la mkono" litadhibitiwa kwa asilimia nyingi. Hureee Lowasa...
 
Wamekosa sera hadi wamediriki kutumia nembo ya CDM ya M4C ili kuwachanganya wananchi
 
Wamekosa sera hadi wamediriki kutumia nembo ya CDM ya M4C ili kuwachanganya wananchi

Jifajini, chamoto mtakiona

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Milango 10 tayari kuhutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiruka kutoka kwenye gari wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano mjini Kahama.

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli( wa tatu kutoka kushoto) akiongoza meza kuu kumuombea mapumziko mema mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani aliyefariki nchini India tarehe 25 Sept.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwachangamsha wakazi wa Kahama kwa kuimba nao nyimbo za hamasa wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Milango 10.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akienda sambamba na wakazi wa mji wa Kahama.
Wananchi wakiwa wamebanana kabisa kumuona Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Kahama na kuwaahidi ataubadilisha mji huo na kuwa wa kisasa na wenye maendeleo zaidi.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Kahama kuwa atawafanyia kazi Watanzania wote bila kujali Itikadi zao za vyama.
Hivi ndivyo mkutano wa Kahama wa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli ulivyofurika.
Wakazi wa Kahama mjini wakiwa wametosha kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
 
Back
Top Bottom