MWAKAJEMBE
Senior Member
- Oct 27, 2014
- 133
- 55
Hii imetokana na wagombea mbali mbali wa ccm kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa madiwani na serikali za mitaa. Wagombea hao wamejitoa kwa kukosa support ya wananchi kwenye kampeni, katika mikutano yao walikuwa wanajikuta aidha wako wenyewe au wananchi wasio zidi watano(5) ndiyo wanaowasikiliza
Hongera wananchi wa Iringa kwa kujitambua.
mwakajembe uongo mwingine angalia kwanza kabla ya kuurusha jamvini..Uchaguzi wa madiwani bado mpaka 2015 sasa hao waliojitoa kugombea ni akina nani? halafu ati wamejikuta wako wenyewe au na watu watano..ungetupia picha tukuamini lakini hivhivi unatuuzia mbuzi guniani
Sahihisho kidogo ni uchaguzi wa serikali za mitaa sio madiwani. Ila umeeleweka vyema.
Huyu atakuwa taahira
Mkiletewa picha mnasema za mwaka juzi, kisa mikutano yenu imedoda! Mitanzania bana, ndivyo ilivyo!!mwakajembe uongo mwingine angalia kwanza kabla ya kuurusha jamvini..Uchaguzi wa madiwani bado mpaka 2015 sasa hao waliojitoa kugombea ni akina nani? halafu ati wamejikuta wako wenyewe au na watu watano..ungetupia picha tukuamini lakini hivhivi unatuuzia mbuzi guniani
Mkiletewa picha mnasema za mwaka juzi, kisa mikutano yenu imedoda! Mitanzania bana, ndivyo ilivyo!!
.... Kama Kweli Big Up.! Kama Ni Uwongo Mi Simo.!
Kwa uandishi huu utakuwa unatumia touch tu.Nii muongoi wewee mtoaa madaa mbona nipoo iringa mjini na ccm hawajajitoa hata kidogo
kwa uandishi huu utakuwa unatumia touch tu.