UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

hivi hiki chama cha act kipo nchi gani vile ?
 
haya bwana!.
 
Namshauri aache siasa kwa sababu mradi wake umebuma.kwakuwa kwenye chama kama act, ccm haitampa tena fungu hivyo akatafute ajira hata kwenye magazeti ya udaku.

pumbav.u wewe unaongea ugolo mtatokwa sana povu act ndo imeyaliwa
 
kumbe wao adui yao ni chadema sio ccm,??????????poleni sana act nazani mwakani mtapata mbunge mmoja zzk tu na msipoangalaia mtaambulia patupu act
 
Fisi na mategemeo ya mkono wa mtu kudondoka
 
chama makini cha act kinapendwa sana na watanzania wote
 
Hii Hekaya nayo ina baraka za Mama Vifaranga???
 
Unakipenda wew na nani? Hao walagai hatutaki hats kuwasikia. Kwanza hao wasali- act hawajui kusoma wakati kwani wanzania hawahitaji utitiri wa vyama Bali wanataka chama change uwezo wa kusimamia Sera zake na kuzitekeleza kwa wananchi basi. Huyu kitila elimu yake haimsaidii kabisa
 

act inapendwa na watanzania wote, hata wewe unaipenda act sema unajitoa akili tu,,act iko mioyoni mwa watanzania
 
Naposikia act nasikia kichefuchefu. Mnahitaji miaka thelathini ninyi wasaliti ndo mpate wanachama mana hiyo dhambi yenu ya usaliti name uroho wa madaraka with wataanza kuisahau kama mtatubu.
 
Kwanza humu jf hamna wanachama Bali mnasaidiwa na ccm. Ccm wachawi wa siasa mana hats enzi ya mrema name nccr yake walimfanyia vituko nakumloga ivi ivi akopotea kabisa na sasa wanamtumia kama msukule wao wa kisiasa.
 
Kwanza humu jf hamna wanachama Bali mnasaidiwa na ccm. Ccm wachawi wa siasa mana hats enzi ya mrema name nccr yake walimfanyia vituko nakumloga ivi ivi akopotea kabisa na sasa wanamtumia kama msukule wao wa kisiasa.

Ha Ha Haaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…