Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.
Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.
Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.
Source:Sauti Huru.
namsikitikia sana MWIGAMBA , ameamua kujishusha kwa kila njia ! Ama kwa hakika laana ya usaliti ni hatari sana !
Kweli ACT ni CCM nyingine.Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.
Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.
Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.
Source:Sauti Huru.
Kwa hiyo wao wamekuja kushindana na wapinzani?
Mbona kazi ipo mwaka huu. ....
Namshauri aache siasa kwa sababu mradi wake umebuma.kwakuwa kwenye chama kama act, ccm haitampa tena fungu hivyo akatafute ajira hata kwenye magazeti ya udaku.
Kweli ACT ni CCM nyingine.
Kumbe ACT imekuja kuua CHADEMA na upinzani kwa ujumla?kwa hiyo sasa tunajua aliyewatuma.
tehe! kuna watu walidhani ACT, itakuwa inafanya uhasama, sasa wameona ACT tulii! wameamua waanze chokochoko.Yangu macho! Ila mwisho wa ubaya....!
tehe! kaongea usiku huu eeh? haya bwana we eendelea tu ila mwisho wa ubaya....!
Haya pambana! Ila mwisho wa ubaya.....
Betle, kumbe wewe ni m-act....?hii comment yako ungeitoa muda wa mchana ingependeza zaidi.
Tehe! haya bwana.
Betle, kumbe wewe ni m-act....?