Mwanachama Sahihi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 572
- 217
Hahahaha..nan alijua km tambwe hiza atapanda jukwaan jana!!!
Mbnu za ushind zinatofautiana we..nyie kaen na kna makongoro na kina lusinde sis tutawapiga nje ndan
Hawana team. Kumbuka hii UKAWA sio Chama, sasa wanafanya kivyao vyao tu. Hapo ndio mtu atapigwa goli kadhaa huku akiwa macho.
Yan aibu watu washakula chao naona akina mgeja ndio mameneja kampeni jaman aibu chadema mmetuangusha

Ukawa yenyewe nzima ni Timu tosha ya Kampeni,unataka timu gani nyingine
Hakuwepo ila alionekana chumbani kwa mama yako wakati ufunguzi unafanyikaSasa naanza kufuatilia hata siku ya ufunguzi, hivi kina Marando walikuwepo?
Hakuwepo ila alionekana chumbani kwa mama yako wakati ufunguzi unafanyika
Utaambiwa jukwaa lilikuwa dogo, eti wasingetosha wote. Uchaguzi ukimalizika lazima tapeli mbowe ang'oke.Sasa naanza kufuatilia hata siku ya ufunguzi, hivi kina Marando walikuwepo?