UKAWA hawaamini kinachotokea

Kweli nchi bado inavilaza kama wewe ni sheria gani inayowazuia wananchi wasijadili rasimu wakati bunge likiendelea, kijana jua wakati tume inakusanya maoni wananchi kwa nyakati mbalimbali walikuwa anajadili katiba mojawapo ni midahalo,uwoga wenu unatoka wapi kuzui wananchi wakiwemo ukawa kujadili katiba kama kweli mmpo sahihi kwa kile mnachofanya eti mabunge matatu serikali mbili,eti wabunge wa zanzibar kupigia kura vifungu vinavyohusu mambo ya Tanganyika.
 

Malizeni katiba yenu ya posho ila wananchi wameelewa na mkweli na yupi msaka tonge, endelea kujifariji lakini usijelia siku 1 kwa yatayotokea huko kwenye bunge la kula. Kwani baadhi yenu wameanza kufunguka kwa kupinga kuburuzwa.
 
Ukawa hawataki kulaaniwa na vizazi avijavyo......nyie mliokwisha kulaaniwa endeleeni kutetea laana yenu(Magamba)
 
Heshimu Mamlaka iliyopo
Wananchi walishapitiwa na maoni wakayatoa wako waliokubali waliokataa na walioona bora iende
Sasa ni zamu ya Bunge
wako wanaokataa, wanaokubali wanaoona bora liende
(Lakini hakuna WAPUUZI KM UKAWA maana hawako upande wowote ila wamekimbia ndani ya Bunge kwenye majadiliano wanakuja kuwabwabwajia uongo)

MY TAKE
Katiba iwepo au isiwepo kwa ww mmoja utaathirika nini?
Muungano uwepo usiwepo utaathirika nini?
km Vyama vya upinzani hasa CHADEMA hakitashika Madaraka ASILANI ww utaathirika nini
SIKU HAZIGANDI zinapita tunakula na kunywa TANZANIA inabaki na amani
Bila Katiba Mpya Uchaguzi upo na AMANI pia

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…