UKAWA hawaamini kinachotokea

ccm endeleeni na ujinga wenu, tuacheni sie UKAWA tuendelee kutoa elimu mtaani, mtalijua jiji

Mwenyekiti wenu hakujua umuhimu wa elimu sasa hiyo elimu atakayoitoa ni elimu gani?

Toka usingizini mkuu Ikwanja.
 
Last edited by a moderator:

Hakuna ana yeweza kuiamini CCM kwa upuuzi wanaoufanya.Watanzania wengi waliamini kuwa CCM ingekuwa mstari wa mbele kuwatetea wananchi matokeo yake wamekuwa mstari wa mbele kuwasaliti wananchi.UKAWA wataendelea kutokuamini kile kinachoendelea kufanywa na CCM tena kwa kushangaa kama ni kweli haya yanafanywa na CCM.
 
Naomba mnifahamishe kuhusu 2/3. Hivi hiyo 2/3 ni waliohudhuria vikao au waliopitisha katiba? Maana naona sio lazima wote waliomo bungeni sasa waseme ndio au wanakubaliana na katiba hiyo (na ndio maana imeamuliwa iwepo kura ya siri). Kwa sababu walioko nje ya bunge ukiongeza waliomo watakaosema hapana si 2/3 haitafikiwa au vipi jamani? Nielimisheni.
 
Ngoja sept 14 ipite na makamanda wapya waapishwe ndiyo mtajua katiba inatafutwaje
 

Hamuwezi kushindana na CCM kama tu MCHANGE amewashinda sembuse CCM
 
Kikundi cha kigaidi.

Sijui Marekani inasubiri nini kuiweka UKAWA kwenye orodha ya vikundi vya kigaidi.
Ndivyo unavyojidanganya na magamba wenzio?

Chama cha magamba, ndicho kilipaswa kuwekwa katika list ya Terrorists groups.

Hebu nijulishe nani alikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tukio la kutekwa na kutupwa lwenye msitu wa Mabwe pande, kwa Dr Ulimboka?

Hebu nijulishe nani alikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tukio la kuteswa hadi kunyofolewa jicho kwa, mwanahabari Absolom Kibanda?

Hebu nijulishe nani alikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tukio lakuuawa, kwa meandishi wa habari, Daudi Mwangosi?

Hebu nijulishe nani alikamatwa ns kufikishwa mahakamani, kwa tukio la kuuawa kwa Dr Sengondo Mvungi?

Matukio ya aina hiyo, kwa jeshi letu la polisi, kushikwa na 'kigugumizi' kuwakamata washukiwa wa uhalifu yapo mengi,.

Kwa kifupi ni kuwa kama tukio la uhalifu, halikuhusika na 'wao wenyewe' basi utaona chap chap, watuhimiwa wanadakwa chap chap na lufikishwa mahakamani, na haraka sana wanahukumiwa vifungo!

Sasa hapo ndiyo utakuwa umefanya uchambuzi na kubsini, which group is really terrorist group, is it magamba or ukawa?

Definitely, through that evidence beyond reasonable doubt, the answer could be absolutely magamba!
 
Sito shangaa wapemba wakija kusema hawakuhusika kutunga katiba sbb sina hakika kama kunamiwakilishi yoyote kutoka pemba kule bingeni kama yupo niambieni
 

Kimsingi tatizo linaloitesa Tanzania na linaloendela kuleta shida kila kukicha ni huu ujina na upumbavu wa CCM kudhani hii nchi ni mali yake. Na kwa sababu ya ujinga huohuo wanaendelea kujidanganya kuwa tamko na misimamo yao ina maana kumbe ukweli ni kuwa, katika swala la katiba ambayo ni kwa ajili ya Wananchi, hakuna chama kilichotakiwa kutoa matamko wala misimamo yenye dhana ya kuonyesha kuwa wao ndiyo wanaohodhi mchakato huo. Hayo ni makosa yatakayopelekea kupotea kwa fedha nyingi bila tija na huenda tusipokuwa makini tukaishia kwenye machafuko. Napenda nieleweke, sibahatishi, uzoefu umeonyesha kuwa hayo ninayosema ni sahihi sana.

Kwa hiyo wakati tunaendelea kushabikia ujinga, tujiandae kwani maafa hayatafanya wana CCM wawe salama, na wengine ndiyo waathirike! Wala wakati hayo yanatokea hamtamwona yeyote kati ya hao mashaytwaan wanaotoa matamko na misimamo ya ki-qafir.
 
katiba mpya itapatikana hakuna shobo wala shebe na wenye njaa wote wako ukawa wakishiba watarejea tu bungeni kwa aibu kuu na kuufyata
 

Habib Mchange ameshaeleza yote hayo na uchunguzi bado unaendelea.

Mnawavalisha watu wenu magwanda ya Jeshi halafu mnaua raia ili kuichafua serikali ya CCM mnafikiri mtabaki salama?

Time will tell.
 
Watanzania hawawezi kuunga mkono ujinga.. wameona wakiandamana watapata aibu... waombe radhi watanzania tu kisha waridi Bungeni...
 
Kama hiyo rasimu itapita bila UKAWA kwa nini uwashauri warudi bungeni?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…