Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity. (Martin Luther King Jr.)Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
Katika maisha yako utapata sana shida kama kila kukicha unahangaika na mambo yasiokuhusu, wewe sio UKAWA ni magamba kwahiyo fuatilia yanayohusu magamba!Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
Ukawa ndio nani
Ukawa ndio nani
Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
jjibu lako ni jepesi tu.. Wewe subiria na hutaamini kitakachotokea baada ya mchakato huo kuvurugwa na ccm
Ukawa ndio nani
Upinzani Tanzania hovyo kabisa! walisema maandamano sasa yako wapi?mwisho utasikia "CCM wameiba kura hatuitambui katiba"
Ndivyo unavyojidanganya na magamba wenzie?!!Ni dhahili kuwa UKAWA hawaamini kilichotokea na konachoendelea kutokea, walidhani labda CC ya CCM iliyoketi juzi ingebatilisha kuendelea kwa BMK lakini ndio wamegongelea misumari kwamba liendelee na mchakato na wanaridhishwa na mchakato huo hivyo kuvuruga kabisa mahesabu ya UKAWA kushangilia ushindi wa kulivunja BMK, saizi wameshaanza kuweweseka cha muhimu UKAWA mrudi tu bungeni mkajadili katiba msifikili hata siku moja kuwa bunge litasitishwa hilo msahau na katiba mpya utapatikana hata nyie msipo kiwepo ila kwa ushauri tu mrudi bungeni.Nawasilisha
Ukawa ni kikundi cha waasi waliojitenga
Ndivyo unavyojidanganya na magamba wenzie?!!
Ndivyo unavyojidanganya na magamba wenzie?!!