Wote hao lao moja; kuna viongozi wa UKAWA wamekwarua mpunga wa haja toka escrow na huko nje wanaenda kuonyeshana orodha na kutishana ili watu wafunge midomo yao mwanaharamu apite chezya mafia weweUkawa, watanzania tunataka kuona viongozi wote waliohusika ama moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine wawajibishwe!!!
Mkila njama na hao ccm ya kuwalinda mafisadi hatutawaelewa. Hatuoni sababu ya ninyi kuenda kufanya mazungumzo pembeni na ccm. Kwann?
Hamjiulizi kwann hao wakubwa wanawabembembeleza? Mnaitumia hiyo fursa kushughulikia suala hili? Tunata Pinda , Sada, Werema, Muhongo na naibu wake wajiuzuru
Kwanza ukawa ndiyo waliohongwa kuliko wabunge wote hawana maana kabisa.Wameenda kupewa majina ya zile account zingine,subiri uone matokeo baada ya kikao.
Wote hao lao moja; kuna viongozi wa UKAWA wamekwarua mpunga wa haja toka escrow na huko nje wanaenda kuonyeshana orodha na kutishana ili watu wafunge midomo yao mwanaharamu apite chezya mafia wewe
Wameenda kupewa majina ya zile account zingine,subiri uone matokeo baada ya kikao.
UKAWA ni genge la watu wasio na malengo maalum. Wanaongozwa na mihemko badala ya facts..
Ni rahisi sana kurubunika.
Ukawa, watanzania tunataka kuona viongozi wote waliohusika ama moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine wawajibishwe!!!
Mkila njama na hao ccm ya kuwalinda mafisadi hatutawaelewa. Hatuoni sababu ya ninyi kuenda kufanya mazungumzo pembeni na ccm. Kwann?
Hamjiulizi kwann hao wakubwa wanawabembembeleza? Mnaitumia hiyo fursa kushughulikia suala hili? Tunata Pinda , Sada, Werema, Muhongo na naibu wake wajiuzuru
usiwe na shaka mkuu.
Unauhakika kwamba ukawa wanabembelezwa,wabembelezwe kwa kipi mbona ukawa waupe sana kwenye mambo ya msingi ila ukitaka kujua ukawa kuwa wapo muende kwenye mambo ya kijinga kama kufanya fujo na kuandamana bila mantiki.
Ushahidi gani unataka nikuletee zile rumbesa na viroba au? wewe subiri waonyeshwe orodha ya waliolamba ngawira halafu uwaone watakavyonywea na kupitisha maazimio ya serikali badala ya maazimio ya kamatiMama ako Asumpta aliambiwa athibitishe akabaki kubwabwaja kama wewe