UKAWA hatutawaelewa

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,645
2,000
Ukawa, watanzania tunataka kuona viongozi wote waliohusika ama moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine wawajibishwe!!!
Mkila njama na hao ccm ya kuwalinda mafisadi hatutawaelewa. Hatuoni sababu ya ninyi kuenda kufanya mazungumzo pembeni na ccm. Kwann?
Hamjiulizi kwann hao wakubwa wanawabembembeleza? Mnaitumia hiyo fursa kushughulikia suala hili? Tunata Pinda , Sada, Werema, Muhongo na naibu wake wajiuzuru
 
majebere

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
4,736
2,000
Wameenda kupewa majina ya zile account zingine,subiri uone matokeo baada ya kikao.
 
salimkabora

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,444
1,225

Wote hao lao moja; kuna viongozi wa UKAWA wamekwarua mpunga wa haja toka escrow na huko nje wanaenda kuonyeshana orodha na kutishana ili watu wafunge midomo yao mwanaharamu apite chezya mafia wewe
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000
Unauhakika kwamba ukawa wanabembelezwa,wabembelezwe kwa kipi mbona ukawa waupe sana kwenye mambo ya msingi ila ukitaka kujua ukawa kuwa wapo muende kwenye mambo ya kijinga kama kufanya fujo na kuandamana bila mantiki.
 
Tee Bag

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
7,186
2,000
Wote hao lao moja; kuna viongozi wa UKAWA wamekwarua mpunga wa haja toka escrow na huko nje wanaenda kuonyeshana orodha na kutishana ili watu wafunge midomo yao mwanaharamu apite chezya mafia wewe
Mama ako Asumpta aliambiwa athibitishe akabaki kubwabwaja kama wewe
 
Daata

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
4,516
2,000
Wameenda kupewa majina ya zile account zingine,subiri uone matokeo baada ya kikao.
Hata wakipewa majina mengine huo ni mchakato mwingine ambao haujafanyiwa uchunguzi kwa hiyo hautahusika. Mjadala uliopo ni namna gani ya kuwawajibisha hao majizi ya kimataifa.:sad:
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,939
2,000
UKAWA ni genge la watu wasio na malengo maalum. Wanaongozwa na mihemko badala ya facts..

Ni rahisi sana kurubunika.
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
Ukawa, watanzania tunataka kuona viongozi wote waliohusika ama moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine wawajibishwe!!!
Mkila njama na hao ccm ya kuwalinda mafisadi hatutawaelewa. Hatuoni sababu ya ninyi kuenda kufanya mazungumzo pembeni na ccm. Kwann?
Hamjiulizi kwann hao wakubwa wanawabembembeleza? Mnaitumia hiyo fursa kushughulikia suala hili? Tunata Pinda , Sada, Werema, Muhongo na naibu wake wajiuzuru
Bila kumsahau Maswi.

Hawataeleweka na ni kawaida kuwa hawana uwingi basi zoezi kama la jana ndiyo maamuzi wanayoweza kuyafanya wawapishe wenye Nchi yao wafanye Maamuzi -CCM

Ni ajabu iliyoje mpaka leo hii baadhi ya Mapendekezo na maamuzi ya Kamati ya Mwakyembe mpaka leo 5yrs hayajatekelezwa-wanataka kudhauriliwa mpaka lini? 

Tee Bag

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
7,186
2,000
Unauhakika kwamba ukawa wanabembelezwa,wabembelezwe kwa kipi mbona ukawa waupe sana kwenye mambo ya msingi ila ukitaka kujua ukawa kuwa wapo muende kwenye mambo ya kijinga kama kufanya fujo na kuandamana bila mantiki.
Weupe kama matak.o yako pumbavu zako mk.undu wewe
 
salimkabora

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,444
1,225
Mama ako Asumpta aliambiwa athibitishe akabaki kubwabwaja kama wewe
Ushahidi gani unataka nikuletee zile rumbesa na viroba au? wewe subiri waonyeshwe orodha ya waliolamba ngawira halafu uwaone watakavyonywea na kupitisha maazimio ya serikali badala ya maazimio ya kamati
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom