Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,480
- 11,688
- Thread starter
- #41
MiCCM maji yamewafika shingoni, baada ya kujaribu kuisambaratisha UKAWA na kushindwa. Wamebaki kulia kilio cha mbwa koko! Upuuzi wa kuifumua rasimu iwe ya serikali mbili feki, umekwama!
baada ya chadema kufa wana cdm mnashabikia ukawa kama mbadala wa cdm pasipo kujua kwamba kile si chama cha siasa!