UKAWA haikutakiwa kuijumuisha CHADEMA

UKAWA haikutakiwa kuijumuisha CHADEMA

chadema imesababisha ukawa watanzania wameisusa

Kama wameisusa mbona Sitta anaweweseka na viongoI wa dini kutafuta support yao? Na Wazenji wameshawatosa CCM Maana washaambiwa kuwa Fatwa imepitishwa huko kwao wacheze mirindimo ya maccm watakiona.
View attachment 150173

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Duuuuh! Kuna watu watachukua uraia wa Tanganyika hapa..
 
Chadema ni chama ambacho tayari kimepoteza mvuto na watanzania wamepata mashaka na wasiwasi juu ya uwezo wa chama hiki kuchukua dola. Chama kina akina mbowe, slaa&Co. ambao hawana mvuto tena kisiasa tanzania.

Kama UKAWA walitaka kufanikiwa wangeunda umoja wao bila kushirikisha cdm. Mi nadhan ingekuwa cuf, nccr na tlp maybe lakin uwepo wa cdm una-ucost huu umoja.
Nashauri UKAWA waiondoe cdm ndo watu watakuwa na imani kwa umoja huu

Huku kwetu Chadema ni wakombozi, wanapenda mabadiliko, wanataka ufaulu wa wanafunzi uongezeke kwa kuboresha mfumo wa elimu na siyo kushusha maksi ili kuhadaa Watanzania kwamba watoto wanafaulu wakati hawajui kusoma na kuandika, wanapendwa na watu wanaoelewa nchi inatoka wapi, ipo wapi na inaelekea wapi, wako imara na hawayumbishwi na mtu na hata ikilazimu kiongozi akifanya hawamfumbii macho na hawaibi kura kwenye chaguzi mbalimbali. Pia ni chama kinachoheshimu utaalam wa mtu na ndiyo maana wanapoibua jambo fulani huwa wana ushahidi wa kutosha na hata pale walisema bungeni kwamba fulani kalidanganya bunge na kutakiwa wathibitishe haijatokea (walau sina kumbukumbu siku waliyoshindwa kufanya hivyo). Hivyo, kuwa sehemu ya ukawa ni jambo jema kabisa! In fact, Watanzania wangewashangaa kama wasingekuwa sehemu ya ukawa.
 
Chadema ni chama ambacho tayari kimepoteza mvuto na watanzania wamepata mashaka na wasiwasi juu ya uwezo wa chama hiki kuchukua dola. Chama kina akina mbowe, slaa&Co. ambao hawana mvuto tena kisiasa tanzania.

Kama UKAWA walitaka kufanikiwa wangeunda umoja wao bila kushirikisha cdm. Mi nadhan ingekuwa cuf, nccr na tlp maybe lakin uwepo wa cdm una-ucost huu umoja.
Nashauri UKAWA waiondoe cdm ndo watu watakuwa na imani kwa umoja huu

Bira Chadema nchi ingekuwa imeshapigwa bei hii...unakumbuka umafia wa akina Rostumo..Msabahai.Karamanji.Mamvi LE.Marehemu feki gavana nahiii aliyefichwa US baada ya aibu ya EPA ya BoT na Utata wa noti mpya na twin towers kuingia ikulu. Bira CHADEMA hata mchakato wa katiba mpya usingekuwepo....tafakari wewe mpumbafuuu na mvivu wa kutafakari na kujenga hoja....
 
Chadema ni chama ambacho tayari kimepoteza mvuto na watanzania wamepata mashaka na wasiwasi juu ya uwezo wa chama hiki kuchukua dola. Chama kina akina mbowe, slaa&Co. ambao hawana mvuto tena kisiasa tanzania.

Kama UKAWA walitaka kufanikiwa wangeunda umoja wao bila kushirikisha cdm. Mi nadhan ingekuwa cuf, nccr na tlp maybe lakin uwepo wa cdm una-ucost huu umoja.
Nashauri UKAWA waiondoe cdm ndo watu watakuwa na imani kwa umoja huu

Bahati mbaya tutaujadili huu upumbavu, tukidhani nayo ni thread
 
Ni kweli kabisa, kwa kuishirikisha Chadema yalikuwa makosa makubwa, huku mtaani huu umoja unaitwa genge la fujo,wapenda posho na wahuni.

Ukitaja Ukawa huku kwetu ni sawa na kusema Uhuni.

kweli kabisa, cdm ikitajwa mwananch mwenye akili na anayefuatilia siasa atapata picha ya uhuni, na vurugu
 
Chadema ni chama ambacho tayari kimepoteza mvuto na watanzania wamepata mashaka na wasiwasi juu ya uwezo wa chama hiki kuchukua dola. Chama kina akina mbowe, slaa&Co. ambao hawana mvuto tena kisiasa tanzania.

Kama UKAWA walitaka kufanikiwa wangeunda umoja wao bila kushirikisha cdm. Mi nadhan ingekuwa cuf, nccr na tlp maybe lakin uwepo wa cdm una-ucost huu umoja.
Nashauri UKAWA waiondoe cdm ndo watu watakuwa na imani kwa umoja huu

Bira CHADEMA nchi hii ingekuwa imshapigwa mnada unakumbuka skendo za EPA KAGODA MEREREMETA na Richmonduli...??? unakumbuka maigizo ya kifo cha Gavana wako aliyefichwa US Daudi Balali?????
 
Chadema ni chama
ambacho tayari kimepoteza mvuto na watanzania wamepata mashaka na
wasiwasi juu ya uwezo wa chama hiki kuchukua dola. Chama kina akina
mbowe, slaa&Co. ambao hawana mvuto tena kisiasa tanzania.

Kama UKAWA walitaka kufanikiwa wangeunda umoja wao bila kushirikisha
cdm. Mi nadhan ingekuwa cuf, nccr na tlp maybe lakin uwepo wa cdm
una-ucost huu umoja.
Nashauri UKAWA waiondoe cdm ndo watu watakuwa na imani kwa umoja
huu

Mods jukwaa la MAKANJANJA please cc all modr

BACK TANGANYIKA
 
MiCCM maji yamewafika shingoni, baada ya kujaribu kuisambaratisha UKAWA na kushindwa. Wamebaki kulia kilio cha mbwa koko! Upuuzi wa kuifumua rasimu iwe ya serikali mbili feki, umekwama!
 
Back
Top Bottom