UKAWA, fanyeni Mabadiliko haraka

UKAWA, fanyeni Mabadiliko haraka

Joined
Feb 21, 2015
Posts
74
Reaction score
34
Mimi kama mwanamabadiliko ambae napenda CCM itoke hata kesho, napendekeza mumbadilishe haraka sana repoter wa matukio ya UKAWA wa ITV maana taarifa zake haziniridhishi.

Napendekeza mmuweke Sam Mahela ili aweze kutoa taarifa zinazomtendea haki raisi wetu.
 
Sam mahela ndio.alifukuzwa huyooo ....spensa yuko vzur sana
 
Wewe utakua gamba umechukizwa na spensa ...kuna gamba mwingine analalamika huku kuwa spensa anatia chumvi nyingi...sam mahela bora walimtoa alikua anahujumu kampeni waziwazi au alikua hajui anachokifanya
 
wangemchukua mzee masako yule naamini asingetuangusha
 
Spensa ni jembe! Usiletee watu chuki zako na wivu humu.
 
Asraji mvungi ndio hakuwa anafaa bora aliondolewa
 
Wewe utakua gamba umechukizwa na spensa ...kuna gamba mwingine analalamika huku kuwa spensa anatia chumvi nyingi...sam mahela bora walimtoa alikua anahujumu kampeni waziwazi au alikua hajui anachokifanya

Si kweli,Sam hajawahi kuwa kwenye timu ya Kampeni za Lowassa katika uchaguzi huu.Awali alikuwa Asraj Mvungi.
 
Umelewa kiroba wewe? au umekamatwa kooni?!
 
Mnataka reporter atakayemtendea kazi 'rahisi' wenu au reporter atakayefanya forgery bila wananchi kugundua Kama lilivyo bumbuluka hili?

Search "les images du grand meeting de cellou dalein diallo au da laisde peuple de conakry en guinee" kuona picha ambayo chadema wanaisambaza na kusema ni mafuriko ya Arusha.

#HapaKaziTu
#MagufuliSubiriKuapishwa
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hapa]#hapa KaziTu[/URL]
#MagufuliSubiriKuapishwa

eti #hapa kazi tu.. kaz ya kuingizia hasara mabilion ya pesa na kulipa wakandarasi hewa kwenye wizara moja tu.. je akipewa nchi
 
Mnataka reporter atakayemtendea kazi 'rahisi' wenu au reporter atakayefanya forgery bila wananchi kugundua Kama lilivyo bumbuluka hili?

Search "les images du grand meeting de cellou dalein diallo au da laisde peuple de conakry en guinee" kuona picha ambayo chadema wanaisambaza na kusema ni mafuriko ya Arusha.

#HapaKaziTu
#MagufuliSubiriKuapishwa

manin*.......a
 
Hayo yote sawa; si ni ripota tu...???

Ebu tuambieni hisa za TBL na NBC zimeuzwa kwa akina nani..??
Je ni hisa za serikali au za ccm..??
 
Mmechelewa...too late mwakahuu mshashindwa..huu ushauri subirini muutoe kipindi cha uchaguzi August 2020
 
Back
Top Bottom