somijo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 110
- 47
Makada na viongozi wanatakiwa kuchunga sana ndimi zao wakati huu ambao Watanzania wengi wamekuwa na tumaini nao. Hata kama wameisha gawana majimbo na vyeo vya serikali yao lakini si muda muafaka wa kujipambanua.
Mfano mzuri ni ndugu Godbless Lema kwa kile alichokisema bungeni kuwa yeye ndo next waziri wa ulinzi. Wenye uelewa watakuwa wamemuelewa kuwa alikuwa anafanya siasa, lakini yale maneno yanaweza kutumika kumchafua yeye chama chake na ukawa kwa ujumla.
So pls chungeni ndimi zenu wanaukawa.
Huo ni mtazamo na maoni yangu.