Ukawa: CCM watapelekwa The Hague (ICC)

Ukawa: CCM watapelekwa The Hague (ICC)

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Baada ya lile tamko la mwendasha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) Fatou Bensouda, jana kwa mara nyingine muungano wa Ukawa wamesema washaanza mawasiliano na mahakama hiyo baada ya kugundua CCM hakitakuwa tayari kuachia madaraka hapo oktoba 25...

Ukawa wamesema kuna viashiria vingi hasa kauli za viongozi waandamizi wa CCM wakiwemo Kinana, ambaye ni katibu mkuu wa chama hicho, Nape na Bulembo

Viongozi hao wa Ukawa wamesisitiza azma ya kuwashirikisha jumuiya za kimataifa hasa ICC ili kuhakikisha hakuna fujo wala machafuko yatakayotokea baada ya CCM kushindwa...

Ikumbukwe ni wiki kadhaa ICC ilitoa onyo kali sana kuhusu uchaguzi unaoendelea kwa sasa hapa nchini... Vile vile na baadhi ya wabunge wa Uingereza nao walitoa onyo kali sana...

Mytake: CCM ni vizuri mkajua kuwa hii ni nchi ya watanzania wote. Hamna budi kukubali matokeo ya oktoba pale mtakaposhindwa na sio kutuletea machafuko...

#Mama Tanzania kwanza, vyama baadaye!...
 
Attachments

  • 1442729518314.jpg
    1442729518314.jpg
    45.3 KB · Views: 402

Wana mageuzi naomba kauli ya Bulembo tuipuuze,Umoja wa wazazi tuu ccm umemshinda mpaka Pinda akatishia kuifuta ile jumuiya.Huyu jamaa ni mropokaji tuu anaishi mjini kwa kupiga domo le mutuz
 
Last edited by a moderator:
Wana mageuzi naomba kauli ya Bulembo tuipuuze,Umoja wa wazazi tuu ccm umemshinda mpaka Pinda akatishia kuifuta ile jumuiya.Huyu jamaa ni mropokaji tuu anaishi mjini kwa kupiga domo le mutuz

Hatuweza kupuuza kauli za viongozi wa CCM. Wao sio watoto wa kupuuzwa.

Wanachoongea wanamaanisha na wamepanga iwe hivyo.

Unakumbuka kauli alioitoa JK siku Magufuli alipoenda kuchukua form pale tume?

Masaburi naye wa kupuuzwa?

Tunaendelea kukusanya ushahidi.
 
huo wala sio uchochezi chadema wanastahili kupelekwa icc kwa sababu watu wamemwagiwa tindikali chacha wangwe leo dr slaa anaishi kwa mashaka eti tu amejitoa chadema unaigharimu serikali kumlinda kuchochea maandamano ya fujo mpaka watu wameuawa na kuumia nk
 
Hujui hata ukisemacho.... Dawa yako ni kukupuuza tu
 
huo wala sio uchochezi chadema wanastahili kupelekwa icc kwa sababu watu wamemwagiwa tindikali chacha wangwe leo dr slaa anaishi kwa mashaka eti tu amejitoa chadema unaigharimu serikali kumlinda kuchochea maandamano ya fujo mpaka watu wameuawa na kuumia nk

Hiyo ni ngazi ya jeshi LA Polisi kama ni kweli uyasemayo.
Natilia shaka akili yako siku ukikamata mwizi utataka umpeleke ICC.
 
Kauli ya bao la mkono,njama na rafu za masaburi,kauli ya bulembo na wengineo ushahidi wa haya na wa wengineo utunzwe ili bensouda asipate shida kuwatia hatiani wakanyee debe gerezani,hakuna haja ccm kulazimisha kutawala wakti wameshindwa kuwapa maziwa na asali yaliyojaa ktk nchi hii,ukawa ndo suluhisho jipya na ndo chaguo letu kwa mwaka u
 
Ccm hawana jipya,wameshindwa kutendea haki raslimali lukuki zilizojaa nchini,nu ajabu kwa miaka 50+ ya uhuru,hata watu wa chato,geita,sengerema,katoro nk wanalia shida ya maji huku ziwa victori liko jirani tu,maccm yakae pembeni tumchague lowasa atupeleke kwenye Tanzania mpya
 
Hiyo ni ngazi ya jeshi LA Polisi kama ni kweli uyasemayo.
Natilia shaka akili yako siku ukikamata mwizi utataka umpeleke ICC.

Ndio maana tunataka kuutoa mfumo wa CCM uliochangia wewe kuwa na mawazo mgando kiasi hiki
 
Back
Top Bottom