UKAWA baada ya kushinda, CCM itakufa na kufutika kama KANU, dalili ziko wazi

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,851
16,748
Habari mbaya kwa Ma CCM.

Hakuna anashangilia kifo kwa wanaohusika, msiba wa CCM October hauepukiki...!!! Kuna kila dalili CCM imeshakufa, ila TAARIFA RASMI ITAKUWA OCTOBER 25.

UKAWA itashinda kwa kishindo sana sanaaa, na baada ya hapo, CCM ITAFUTIKA KABISA KABISA...!!! kama ilivyokuwa KANU, basi ndio hivyo hivyo.

CCM wameacha SERA wamebaki KUMSHAMBULIA LOWASSA usiku na mchana, sera yao ni Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa... na KUWAPIGIA WANANCHI FIESTA.... VIGODORO.

Wananchi wana shida sana mijini na vijijini, wenyewe CCM wanauza SURA TU majukwaani, matusi, kejeli... na kubeba mamia ya wasanii KUKATA VIUNO.

Hivi wananchi wasio na maji, dawa, mashuleni walimu hoi kwa njaa, hawana hata mlo wa siku shida... wana vyuo hawana boom, njaa imewamaliza, hela za field hakuna, UNAWALETEA MADADA WA BONGO MOVIES KUKATA MAUNO JUKWAANI... damn..!!! CCM inawaletea wasanii wa music mijiji na vijijini... damn... wakimaliza kukata viuno wanawasonya wananchi.... that is nasty kabisa...!!!

Kisha wanaanza Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa.....mara matusi yaanza.. wananchi wanawasanifu tu... mara CCM ni ILEEE ILEEEE... hata wimbo wenu UNAWAMALIZA.....kisha jamani KWAHERINI.


Mtashangaaaaaa..... mtafeli uchaguzi huu hadi mpate stroke.

TUSUBIRIENI MUONE.
 
Yaani CCM imejaa matusi tu na BONGO movies...

Mwigulu, Nape, Wassira, Lusinde, Makongoro, Mkapa, etc wao kwao ni matusi tu..... wanatuka kila kona...!!

Magufuli wanamwangusha wao wenyewe.... WANASHINDWA KUNADI SERA... wao ni FIESTA, MATUSI... KEJELI, DHARAU, LOWASSA... LOWASSA..LOWASSA..

Wananchi wana wa time tu... nyie subirieni October 25...!!!

CCM wanajimaliza wenyewe... safiiii..

Hapa ni UKAWA TU...!!! TUSHAMALIZA...!!!
 
Amuombeaye mabaya mwenzie humpata yeye mwenyewe. Angalia usijeshindwa hata kufumbua macho na masikio kwa yatakayotokea.
 
Back
Top Bottom