Tumia septrini inazuia kuharisha na kutapika
Siku hizi ni limao za Gwajima tu.
Zinatosha sana tena ni Made in Tanzania
Ha ha ha
Tumia septrini inazuia kuharisha na kutapika
UKAWA jijini Arusha wameachwa na UKIWA huku wakiwa hawaelewi cha kufanya baada ya suprise ya jana kutoka Kwa mtu wa kazi mpiga kazi kikazikazi jembe linalolima hata mpini ukivunjika ....Dr Johny Johny Johny ooo!!
Mpaka ninavyoshusha thread hii watu wanatumiwa sms kicybercrime yaani hata kama wewe sio mpiga kura wanakutumia tu.
Mpaka usiku huu migari mibovu yenye spika zinazokoroma zinapita kutangaza mkutano wa lowassa kesho.
Mbaya zaidi message inasema mkutano uko huku wakati magari hayo yanatangaza mkutano uko kule...
Yani mpaka nawaonea huruma watani zangu kina Mmaiwa