Mkuku Junior
Member
- May 3, 2015
- 67
- 21
Hawa maccm yaache yajidanganye yenyewe yanasomba watu mikoa zaidi ya mitatu hlf wanafurahi. Viva Lowassa the president
UKAWA jijini Arusha wameachwa na UKIWA huku wakiwa hawaelewi cha kufanya baada ya suprise ya jana kutoka Kwa mtu wa kazi mpiga kazi kikazikazi jembe linalolima hata mpini ukivunjika ....Dr Johny Johny Johny ooo!!
Mpaka ninavyoshusha thread hii watu wanatumiwa sms kicybercrime yaani hata kama wewe sio mpiga kura wanakutumia tu.
Mpaka usiku huu migari mibovu yenye spika zinazokoroma zinapita kutangaza mkutano wa lowassa kesho.
Mbaya zaidi message inasema mkutano uko huku wakati magari hayo yanatangaza mkutano uko kule...
Yani mpaka nawaonea huruma watani zangu kina Mmaiwa
Kisa cha kuachwa UKIWA ni nini? KUMBUKA UKUBWA WA PUA SIO WINGI WA KAMASI.
Subiri kesho uone mafuriko original.
Akili mbovu hii.kufurika sio kupiga kura wewe
Karibu Arusha kesho. Njoo uone tofauti ya Fiesta na mkutano.Halafu ulizia moshi leo nini kimetokea.Mambo ni mazito.Ulizia polisi wakueleze wanachotaka watu ni mabadiliko.
Mleta mada,tunaendelea kusisitiza kuwa ccm hakuna arusha.
Njooni bila wasanii na bila kugawa pesa kama hamjafanywa kama monduli.
Ha ha umepaniki mzee.
Aliyofanya magufuli Arusha hayakutegemewa.
Ccm ipo, unadhani ule mkutano na waliouandaa na walikuwa wanausikiliza ni chadema?
Jifikirie upya mzee.
Afu ujipange sana.
Maandalizi ya mkutano wa magfuli ulipigwa kimya kimya kwa promo ya kishkaji. Makamanda wakashtuka kushajaa maana waliamini hawezi pata watu arusha mjini.
Angalia promo ya kuita watu kwenye mkutano wa Lowassa gari zimetangaza zaidi ya mara 3 hapa kaloleni. Yaani nguvu kubwa ya nini wakati Arusha ni ngome ya makamanda na ni kiwanja cha nyumbani???
Afu kumbuka nguvu ya lowassa arusha sio kubwa kivile.
Alivyokuja kutangaza nia arusha alijaza uwanja kwa kusafirisha watu. Wakazi wa arusha walikuwa wachache sana mkutano ule.
Presha inapanda presha inashuka presha inapanda presha inashuka
Yaani Chadema imefikia hatua ya kujibu hivi kwa matukio ya Arusha!