UKAWA Arusha imeachwa with confusion and disorganisation

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
UKAWA jijini Arusha wameachwa na UKIWA huku wakiwa hawaelewi cha kufanya baada ya suprise ya jana kutoka Kwa mtu wa kazi mpiga kazi kikazikazi jembe linalolima hata mpini ukivunjika ....Dr Johny Johny Johny ooo!!

Mpaka ninavyoshusha thread hii watu wanatumiwa sms kicybercrime yaani hata kama wewe sio mpiga kura wanakutumia tu.

Mpaka usiku huu migari mibovu yenye spika zinazokoroma zinapita kutangaza mkutano wa lowassa kesho.

Mbaya zaidi message inasema mkutano uko huku wakati magari hayo yanatangaza mkutano uko kule...

Yani mpaka nawaonea huruma watani zangu kina Mmaiwa
 
Last edited by a moderator:

Ujumbe wako Hasa ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Kesho Arusha itasimama bila ya magari ya mizigo kwenda stand utashuhudia mafuriko halisi
 
ahahaaaa a man with no brain ktk ubora wako as usual..when will u grow up brah and understand the realty..?no wonder u sound like ur name
 
Wewe usijiite mtu WA Arusha maana akili yako haifanani nao.....Watu wa Arusha hawashindagi kwenye mtandao wakifanya cheap propaganda....makamanda wako mbugani ama porini wanasaka pesa

Arusha:BORA CONDOM ILIYOTUMIKA IWE MBUNGE WA ARUSHA KULIKO CCM

Takwimu zinaonesha kuwa Arusha inaongoza kwa watumiaji wa mtandao nchini.

hivi majuzi kuna kijana mkazi wa Arusha katiwa mbaroni kwa kosa la cyber crime.

Wachimbaji wako simanjiro sio Arusha!
 
UKAWA jijini Arusha wameachwa na UKIWA huku wakiwa hawaelewi cha kufanya baada ya suprise ya jana kutoka Kwa mtu wa kazi mpiga kazi kikazikazi jembe linalolima hata mpini ukivunjika ....Dr Johny Johny Johny ooo!!

Mpaka ninavyoshusha thread hii watu wanatumiwa sms kicybercrime yaani hata kama wewe sio mpiga kura wanakutumia tu.

Mpaka usiku huu migari mibovu yenye spika zinazokoroma zinapita kutangaza mkutano wa lowassa kesho.

Mbaya zaidi message inasema mkutano uko huku wakati magari hayo yanatangaza mkutano uko kule...

Yani mpaka nawaonea huruma watani zangu kina Mmaiwa

Hakuna wa kupambana na UKAWA isipokuwa ni MUNGU tu.JPM ataingia kwenye rekodi ya kushindwa na kuizika CCM kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Takwimu zinaonesha kuwa Arusha inaongoza kwa watumiaji wa mtandao nchini.

hivi majuzi kuna kijana mkazi wa Arusha katiwa mbaroni kwa kosa la cyber crime.

Wachimbaji wako simanjiro sio Arusha!

Na wachimbaji wa madini wako simanjiro pia ama. Na hata Kama inaongoza kwa watumiaji wa mtandao ina husiana nini na kijana kukamatwa Arusha
Nimekueleza: Tanzania nzima hakuna vijana watafutaji kama wa Arusha na hawana mda mwingi Kama wako wakufanya politics za mtandao..... Kama wewe Ni kijana WA Arusha Inabidi tukutafutie kazi ya kudume porini maana front page nzima Ni wewe
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha peperusha bendera viva lowassa vivaaaaaaaaaaaaaaa
 
naamini amekuelewa arusha ni namba nyingine mambo ya kushabikia mafisiem hakunaga huko
Wewe usijiite mtu WA Arusha maana akili yako haifanani nao.....Watu wa Arusha hawashindagi kwenye mtandao wakifanya cheap propaganda....makamanda wako mbugani ama porini wanasaka pesa

Arusha:BORA CONDOM ILIYOTUMIKA IWE MBUNGE WA ARUSHA KULIKO CCM
 
UKAWA jijini Arusha wameachwa na UKIWA huku wakiwa hawaelewi cha kufanya baada ya suprise ya jana kutoka Kwa mtu wa kazi mpiga kazi kikazikazi jembe linalolima hata mpini ukivunjika ....Dr Johny Johny Johny ooo!!

Mpaka ninavyoshusha thread hii watu wanatumiwa sms kicybercrime yaani hata kama wewe sio mpiga kura wanakutumia tu.

Mpaka usiku huu migari mibovu yenye spika zinazokoroma zinapita kutangaza mkutano wa lowassa kesho.

Mbaya zaidi message inasema mkutano uko huku wakati magari hayo yanatangaza mkutano uko kule...

Yani mpaka nawaonea huruma watani zangu kina Mmaiwa

Karibu Arusha kesho. Njoo uone tofauti ya Fiesta na mkutano.Halafu ulizia moshi leo nini kimetokea.Mambo ni mazito.Ulizia polisi wakueleze wanachotaka watu ni mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Jingalao kumbe!Hivi umeshaihukumu ccm kushindwa?Unashinda humu jukwaani kuitetea ccm.Lo unawavunja nguvu wenzako walio mapambanoni.Ccm mfuatilieni huyu shabiki wenu.atawaangusha.
 
Unajua CCM wanakuja mikutanoni na wasanii wote na sisi hapa Arusha hatujakuwa na fiesta muda mrefu. Haikuwa kosa kwenda kuona na kusikiliza muziki wa bure. Kesho tunaenda mkutanoni kwa sababu tunataka mabadiliko. Nyomi ya kesho nadhani jingalao atatoroka! Subiri tu utaona!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom