Ukatili wa binadam katika picha(inasikitisha)

Ukatili wa binadam katika picha(inasikitisha)

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,032
Reaction score
15,721
Binadam akilaumiwa kwa ukatili wake dhidi ya wanyama.
IMG-20190427-WA0022.jpeg
IMG-20190427-WA0020.jpeg
IMG-20190427-WA0018.jpeg
IMG-20190427-WA0017.jpeg
IMG-20190427-WA0014.jpeg
IMG-20190427-WA0013.jpeg
IMG-20190427-WA0015.jpeg
 
Hata wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana unyama... ambush, umafiya...


Cc: mahondaw
Wao ni nature kufanyiana hivyo kwa ku balance eco system!
Sasa wee binadam unamuua tembo kisha unachkua pembe tuu kwa ajili ya urembo huo si ukatili
 
Ushawai kuuona ukatili wanaofanyiana wananyama?...hasa mbwa mwitu kwa wanyama wengineView attachment 1083199
Hiyo ni kubalance eco system ndomana kukawa na wanyama kama fisi na tai au biringita mavi hawa ni specifically kwa ajili ya ku maintain enviroment iwe clean!predator mkubwa wa wanyama sio wanyama wenyewe bali ni human!population zinapungua lakin hawaambiwi simba ndo wanamaliza nyati bali binadam na ujangiri
 
Wao ni nature kufanyiana hivyo kwa ku balance eco system!
Sasa wee binadam unamuua tembo kisha unachkua pembe tuu kwa ajili ya urembo huo si ukatili

Sisi na wao ni wale wale... hata sisi pia ni wanyama... mamalia...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom