MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,163
- 13,207
Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.Mimi babu zangu ni wa kitambo sana na hata lugha yao inashabihana na kinyankole na kihaya na kiganda asilimia kubwa!!Sizungumzii wahamiaji wa miaka ya 50,s na 60!!!!Mimi nazungumzia koo za kichifu za babu zangu walikua askari wa kukodiwa na machifu wengine kuiba mifugo na kupigana vita kabla hata mkoloni hajachora mipaka wala kufika!!!Hawa waliokimbia machafuko miaka ya1920,1940,1950 na 1960 walikuta babu zangu wapo karagwe zaidi ya miaka 400!!Ni kama Wamanyema wa kigoma au Watusi wa Kongo DRC wapo pande zote!!!!Umeelewa mdogo wangu
Maeneo gani hayo?territory!!!!Nata Tanzania kuna maeneo anadai ni ya Rwanda
Mipaka aliweka mkoloni!!!Babu zangu waliniadithia kua mababu wa babu zao walikua wanapigana vita na koo za utawala wa Rumanyika wa kwanza na moo za utawala wa chifu Mukenzi wa kwanza wa Banyarwanda!!!Wanyambo ni koo za kitusi na kinyankore kama walivyo wahaya na koo za Baganda na koo za Kinyankore!!!!Mipaka ya wakoloni ndio iliwatenganishaWapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?
Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?
Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?
Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga
Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
Una undugu na Wiston Lushasi?Sio kayanga ni hapo chini mgakorongo kaka!!!!!Sema naishi dar ndugu yangu
Karagwe kuna vijiji wakazi wake asilimia 90 ni Wanyarwanda. Hii ni hatari sana huko mbele.Kagame anadai Ngara na baadhi ya sehemu za wilaya ya karagwe ni Rwanda!!!!!
Mababu wa mababu zangu walitokea pande za Rwanda ila miaka hiyo hakukuwepo na Nchi ya Rwanda au Burundi au Tanganyika!!!Kulikua na koo za kifalme na koo za machifu tu!!!Walikua wafugaji wanaohamahama na mifugo afu wapiganaji wanaoteka aridhi na kuiba mifugo!!!Lakini lugha zao zinashabihana Kinyarwanda,Kirundi,kinyankore,kiganda,kinyoro na kihaya!!!!Mipaka Ali let a mzungu miaka ya 1800,s!!Mtutsi wa rwanda au burundi?
Mipaka alichora mkoloni ila ni kweli sisi wa makabila ya mpakani tuna ndugu pande zote mbili!!!!Mipaka walichora wazunguKaragwe kuna vijiji wakazi wake asilimia 90 ni Wanyarwanda. Hii ni hatari sana huko mbele.
Upo sahii kaka ni kweliKusema mtutsi Kaiwa muhutu sio sahihi. Na kusema muhutu kauwa mtusi sio sahihi. Maneno hayo unamaanisha kuwa wahutu( all hutu society an all tutsi society wamehusitka kitu sio kweli)
Nafikili kusema sahihi ni interahamwe na Ex far waliuwa watutsi na moderate hutu.
Na RPA (tutsi forces) waliuwa wahutu na baadhi ya watutsi pia.kama watutsi wa bagogwe na bisesero.
Ni kweli Wanyambo ni koo za kinyarandwa hasa za kitusi wale wafuga ngombe na pia koo za kinyankore kama walivyo wahaya na koo za baganda!!!!Asilimia 30% ni kihaya!!Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.
Na mna kitabu chenu kinachoeleza asili yenu kikiwa na majina kabisa.
Ili kujitofautisha na watusi ambao walivamia Karagwe kwa ajili ya malisho.
Ila kinyambo kinashahabiana na kinyarwanda, Kinyankole ila sio kihaya.
Shukrani
Ngara na maeneo ya karagwe wanapokaa waangaza na WanyamboMaeneo gani hayo?
Labda majina tu ila koo za lushasi ni nyingi!!!Zipo karagwe na zipo Rutagama na zipo Buyenzi zipo Mulenge!!!Zote ni Zote ni koo za Wanyambo ila katika nchi tofautiUna undugu na Wiston Lushasi?
Karagwe koo za lushasi ni nyingi na wote ni ndugu zangu!!!Una undugu na Wiston Lushasi?
Tena wanyama pori Kama fisiSasa kama sio laana hiyo ni nini
Daa aise kweli waafrika ni zaidi ya wanyama
Haya yoote yamesababishwa na kupenda madaraka kwa Wafrika.
Wanaochochea haya maovu wenyewe wanakula raha huko duniani.
Sio ribalism ni Bad politics za Viongozi wao.Chuki Mbaya. tribalism View attachment 2460064
TrueTena wanyama pori Kama fisi
Mleta mada Dunia inakushukuru kwa kuleta hii habari hapo ni mbaya lakini Mamlaka za kitaifa zichukue hatua.
Ni noma sana hizi siasa za majitaka za bara la Afrika zimeleta ushetaniSasa kama sio laana hiyo ni nini
Daa aise kweli waafrika ni zaidi ya wanyama
Sio kuulamba. Anaunyofoa na kuung'ata meno.Aisee jamaa analamba uume wa mwenzie, hatari sana huko