wanafunzi nyinyi mnamatumizi mabaya ya fedha,hizo fedha hamkupewa ili mkanunue vimini,kutengeneza nywele za ghalama na ujinga mwingi mnaofanya na wakaka mnajifanya mnajua sana kutongoza na kuhonga hivyo vihela vya bodi then mkiishiwa mnarudi kutafuta huruma ya wananchi,acheni uujinga someni ebooo!!!!