MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 867
- 331
pasi zote za kusafiria zilibadilishwa 2005 kutoka zile za zamani za kuandikwa kwa mkono na kuwa za kuchapwa kwa mashine. Latest time ya kuisha muda ni 2015. Unaposema iliisha muda unadanganya au kama umesafiri sana na imejaa.
Anaongozana sana na baba mwanaasha katika miseleMkuu unachanja mbuga kama JK yaani ilishajaa!
Ukata is cutting accross all the gvt entities
kaka la ukata ni kweli na hilo siyo kwa idara ya uhamiaji ukata ni wizara na idara kumbuka serikali imeamua kumega bil.3 kila idara za serikari kutokana na ukwasi ilionao ila vumilia itatoka mie pia kuna jamaa yangu alijaza tokea septemba mwaka jana imetoka january mwaka huu