Oa nawewe halafu mi niwe nampa nkeo lifti uone uchungu wake,nashangaa haya mambo umeyaleta huku huu ni umbeya,kipi kimekuuma,huu ni uamzi wangu binafsi
Pole sana na umshukuru Mungu kwa kuepusha ambayo yangetokea japo wewe ilikua na nia njema, ikiwezekana kuwa busy na yako ili kupunguza ukaribu uliokwisha jengeka baina ya hizo familia zenu.
Oa nawewe halafu mi niwe nampa nkeo lifti uone uchungu wake,nashangaa haya mambo umeyaleta huku huu ni umbeya,kipi kimekuuma,huu ni uamzi wangu binafsi
Eee mke wa mtu huyo, hata ningekuwa mimi aisee kwanza ni aibu kumwacha jirani ndio ampeleke mke kazini wakati nami nina gari, kama hakuna ubaya uliofanya we potezea tu.. jirani analinda mali yake.
Ukikutana na mke wake mwambie aache habari hizo..unaweza kuhisi yameisha baada ya huduma ya lifti kusitishwa kumbe wife kule akawa anaendelea kukumwagia misifa kwa mume wake..mwisho wa siku unakuja kufanyiwa kitu mbaya
Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........
Sasa bora umtafune huyo mkewe Ili tuhuma ziwe za kweli.........inauma sana kusingiziwa.............bora shari kamili kuliko shari nusu nusu kama hivyo...........