fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Kama kuna mdau hapa ana taarifa juu ya mpango wa Serikali kujenga na kukarabati viwanja vipya vya michezo aje atupe taarifa.
asante kwa mrejeshoKwenye bajeti iliyopita serikali ilitenga fedha kuweka nyasi bandia kwenye viwanja sita ila hakuna kilichsfanyiwa ukarabati hata kimoja na kwenye ripoti ya CAG sijasikia akiongelea hii.