nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
Lazima mtambue hii ni vita ya ndani na nje..... Waliobaki ndani ni threat kuliko waliotoka.... Think Big
Umesema kweli
Lazima mtambue hii ni vita ya ndani na nje..... Waliobaki ndani ni threat kuliko waliotoka.... Think Big
Wakati Lowasa anahamia CHADEMA, alienda kwa tambo nyingi huku akiwaahidi viongozi wa CHADEMA kuwa kuna mafuriko ya wana CCM kuhama chama chao na kujiunga na CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka sasa, ni takriban wiki tatu sasa tangu mwanasiasa huyo ahamie CHADEMA na hakuna dalili za yale mafuriko aliyoahidi wakati anajiunga na CHADEMA. Mpaka sasa ni wenyeviti wawili tu wa mikoa wa CCM waliojiunga na Lowasa ilhali aliahidi kuwa zaidi ya nusu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya watatangaza kujiunga na CHADEMA. Pia alitangaza kuwa kuna wakuu wa mikoa na wilaya watajiunga na CHADEMA ambapo mpaka sasa, hakuna mkuu wa Mkoa wala wilaya aliyejiunga na CHADEMA.
Pia, hakuna mbunge aliyepitishwa na CCM ambaye ametangaza kujiunga na CHADEMA. Waliojiunga na chama hicho ni wale waliokatwa kwenye kura za maoni kutokana na kushindwa kutimiza matarajio ya wananchi kwenye majimbo yao.
Kwa upande wa wanachama wa kawaida, hapa ndipo hofu ya Lowasa ilipo. Mpaka sasa hakuna lile wimbi la wanachama wa CCM kwenda CHADEMA, baadhi waliokuwa na hasira kutokana na watu wao kukatwa hali imetulia baada ya kuujua ukweli.
Swali la kujiuliza, je Lowasa ameshindwa kufikia dau la kuweza kuwanunua wana CCM zaidi au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?

Kura za wanachama wa CCM zinatosha
Yaani watu kuhama nayo ni habari?
Mi nadhani ufurahi basi kama hawajahama kuliko kuja kuweweseka hapa
Wakati Lowasa anahamia CHADEMA, alienda kwa tambo nyingi huku akiwaahidi viongozi wa CHADEMA kuwa kuna mafuriko ya wana CCM kuhama chama chao na kujiunga na CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka sasa, ni takriban wiki tatu sasa tangu mwanasiasa huyo ahamie CHADEMA na hakuna dalili za yale mafuriko aliyoahidi wakati anajiunga na CHADEMA. Mpaka sasa ni wenyeviti wawili tu wa mikoa wa CCM waliojiunga na Lowasa ilhali aliahidi kuwa zaidi ya nusu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya watatangaza kujiunga na CHADEMA. Pia alitangaza kuwa kuna wakuu wa mikoa na wilaya watajiunga na CHADEMA ambapo mpaka sasa, hakuna mkuu wa Mkoa wala wilaya aliyejiunga na CHADEMA.
Pia, hakuna mbunge aliyepitishwa na CCM ambaye ametangaza kujiunga na CHADEMA. Waliojiunga na chama hicho ni wale waliokatwa kwenye kura za maoni kutokana na kushindwa kutimiza matarajio ya wananchi kwenye majimbo yao.
Kwa upande wa wanachama wa kawaida, hapa ndipo hofu ya Lowasa ilipo. Mpaka sasa hakuna lile wimbi la wanachama wa CCM kwenda CHADEMA, baadhi waliokuwa na hasira kutokana na watu wao kukatwa hali imetulia baada ya kuujua ukweli.
Swali la kujiuliza, je Lowasa ameshindwa kufikia dau la kuweza kuwanunua wana CCM zaidi au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?
Acha abishe. kuna thread ya 2011 kuhusu Mbowe kumuuzia Lowasa Chadema naomba Nickname uiunganishe hapa ili tuone wajinga walivyoliwa na Mbowe. Wakati ule hata mimi sikuiamini ila yametimia. Dr. Slaa kuwaachia li ukawa lenu siyo mwehu. Anaelewa kila kitu na hakuwa tayari kuuzwa. Acha waliouzwa na Mbowe waendelee kumchekea mr. White hair. VIVA DR. SLAA VIVA PROF LIPUMBA.Duh! Kaka, yaani unabishia hata hili?
Wale wanachama zaidi ya 600 Tanga waliochoma kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa mtazamo wako ni wengi au wachache?