Ukamanda CCM

Ochu

Platinum Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
50
:target:hivi sifa za kuwa kamanda wa umoja wa vijana wa CCM ni zipi? mbona huwa makamanda wanakuwa wengi sana uchaguzi ukikaribia? kwa nini makamanda wote ni watu wenye uwezo wa kifedha? au ndio kutafuta tiket ya ubunge?
CCM ina mambo.lol
 
Ni uamuzi tu mkubwa nahisi pesa si kigezo cha kuwa kamanda ingawa INAWEZEKANA wanatumia pesa kupata nafasi hizo. Na wengine hawataki kugombea kwa kuhisi kuwa HAWANA pesa. Ni mtazamo tu!
 
Uwe na fedha za kutosha mfukoni na pia uwe na jina fulani katika jamii.
 
and what about "ukamanda wa chadema" lazima uwe mgalatia (askofu) na utoke kaskazini..
 
ccm inapenda kujibost na na watu maarufu.
hata majambazi ni maarufu pia
 
ccm inapenda kujibost na na watu maarufu.
hata majambazi ni maarufu pia

Angalizo tu mkoa wa Mwanza, Arusha, Mbeya,Mara, Kilimanjaro, Iringa,Tabora, Kigoma, Dar, etc... Most of them stinking like xfff&ssh***t
 
Kamanda Mareale ahutubia KCMC Moshi
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aggrey Marealle akihutubia wanafunzi ambao ni wanachama wa CCM wakati wa hafla ya kukabidhi kadi za uanachama wa CCM kwa wanafunzi 201 wa tawi la CCM la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tiba cha KCMC.Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo Jumatatu. Picha na mpiga picha wetu.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aggrey Marealle akihutubia wanafunzi ambao ni wanachama wa CCM wakati wa hafla ya kukabidhi kadi za uanachama wa CCM kwa wanafunzi 201 wa tawi la CCM la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tiba cha KCMC.Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo Jumatatu. Kushoto ni mwenyekiti wa CCM tawi la KCMC, Bw. Mugisha Nkoronko na Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini Yusufu Kombo. Picha na mpiga picha wetu.
 
naona mareale kaiga vazi la chadema katika mashono...tofauti rangi tu...lol
 
This sicks!!!
C.C.M....... where are you taking us?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…