Sasa bilioni moja kwa siku kwa serikali ni kitu gani? Serikali itakufa mwezi huo huo!!!!Kwa kifupi kodi ya Tanzania (VAT) ni kubwa mno. Tanzania ina kodi ya asilimia 18. Mara tatu ya kodi ya Marekani (sales tax) ambayo ni wastani wa asilimia 6.
Kabla ya Magufuli joto ya jiwe la kodi haikuonekana kwa sababu watu wengi walikwepa kodi. Leo hii wanalipishwa kodi ndio maana vitu vimepanda bei.
Kodi si kitu kibaya ni kitu muhimu sana na serikali ina haki ya kukusanya kodi.
Hiyo kodi ya asilimia 18 kwa wafanyabiashara ingeondolewa. Badala yake wafanya biashara wangetumia mashine za TRA kukusanya kodi ndogo za asilimia kama tano kutoka kwa wanunuzi wa rejareja.
Hivi TRA wanajua kuwa wakikusanya kodi ya shilingi elfu moja kwa siku kutoka kwa wanunuzi wa reja reja milioni ishirini itaingiza shilingi bilioni moja kwa siku?
Bado anaamini kuwa final consumers hawalipi kodi?Kwa kifupi kodi ya Tanzania (VAT) ni kubwa mno. Tanzania ina kodi ya asilimia 18. Mara tatu ya kodi ya Marekani (sales tax) ambayo ni wastani wa asilimia 6.
Kabla ya Magufuli joto ya jiwe la kodi haikuonekana kwa sababu watu wengi walikwepa kodi. Leo hii wanalipishwa kodi ndio maana vitu vimepanda bei.
Kodi si kitu kibaya ni kitu muhimu sana na serikali ina haki ya kukusanya kodi.
Hiyo kodi ya asilimia 18 kwa wafanyabiashara ingeondolewa. Badala yake wafanya biashara wangetumia mashine za TRA kukusanya kodi ndogo za asilimia kama tano kutoka kwa wanunuzi wa rejareja.
Hivi TRA wanajua kuwa wakikusanya kodi ya shilingi elfu moja kwa siku kutoka kwa wanunuzi wa reja reja milioni ishirini itaingiza shilingi bilioni moja kwa siku?
Kabla ya kutoa LAWAMA kuhusu uchumi. Nataka nikupe hali halisi ilivyo kwa jirani zetu halafu uone kama kuna ukali wa MAISHA kuliko wenzetu.Kwa kifupi kodi ya Tanzania (VAT) ni kubwa mno. Tanzania ina kodi ya asilimia 18. Mara tatu ya kodi ya Marekani (sales tax) ambayo ni wastani wa asilimia 6.
Kabla ya Magufuli joto ya jiwe la kodi haikuonekana kwa sababu watu wengi walikwepa kodi. Leo hii wanalipishwa kodi ndio maana vitu vimepanda bei.
Kodi si kitu kibaya nii kitu muhimu sana na serikali ina haki ya kukusanya kodi.
Hiyo kodi ya asilimia 18 kwa wafanyabiashara ingeondolewa. Badala yake wafanya biashara wangetumia mashine za TRA kukusanya kodi ndogo za asilimia kama tano kutoka kwa wanunuzi wa rejareja.
Hivi TRA wanajua kuwa wakikusanya kodi ya shilingi elfu moja kwa siku kutoka kwa wanunuzi wa reja reja milioni ishirini itaingiza shilingi bilioni moja kwa siku?
U0NGO MTUPUKabla ya kutoa LAWAMA kuhusu uchumi. Nataka nikupe hali halisi ilivyo kwa jirani zetu halafu uone kama kuna ukali wa MAISHA kuliko wenzetu.
1.UGANDA: Sukari juzi juzi ilikuwa ni dola za Kimatekani 0.98 cents ambazo ni kama shs 2500 za Tanzania. Na SASA ni Dola 1.21- 1.41. Hii ni karibu shilingi za kwetu 5000 kwa Kilo moja.
2.RWANDA: Bei ya Sukari ni Dola1.2 sawa na Tz shs 3,500 za Tanzania.
3.KENYA: Bei ya Sukari nini Dola 3 kwa kilo mbili sawa na shilingi ya
Tanzania elfu 7500 kwa kilo mbili.
SASA nakuuliza katika nchi za AFRIKA MASHARIKI ni nchi IPI iliyo na MAISHA NAFUU?
Ukipata jibu basi HUTAKUWA tena na lawama ya kuilaumu nchi yako.
By the way hii imetokana na UKAME katika nchi zote za Afrika Mashariki. Na hivyo miwa KUPUNGUA?
Hapo ndipo tatizo lilipo! Tunategemea kodi tu kama chanzo kikuu cha mapato! Tusubiri viwanda vya magufuli.Sasa bilioni moja kwa siku kwa serikali ni kitu gani? Serikali itakufa mwezi huo huo!!!!
Sukari ndiyo kipimo pekee cha hali ya maisha?mbona hujazungumzia opportunities?mbona hujagusia unemployment rates between? Hujasema kenya au uganda as a governments expenditure yao ikoje!! Bajeti yao ni kiasi gani na kiasi gani bajeti yao inaathiri maisha ya mtu mmojammoja!! Kwa mfano wako wa sukari unaweza kuwaaminisha wajinga kuwa hali ya maisha ya waingereza ni mbaya kuliko ya somalia! Kwa sababu kilo moja ya sukari UK kwa pound ni zaidi ya bei ya kilo moja ya sukari when you convert £ to somali currency!! Unajua expenditure ya mmarekani kwa siku tu just for basic needs?je kipato Chao kwa siku/saa? Think twice!Kabla ya kutoa LAWAMA kuhusu uchumi. Nataka nikupe hali halisi ilivyo kwa jirani zetu halafu uone kama kuna ukali wa MAISHA kuliko wenzetu.
1.UGANDA: Sukari juzi juzi ilikuwa ni dola za Kimatekani 0.98 cents ambazo ni kama shs 2500 za Tanzania. Na SASA ni Dola 1.21- 1.41. Hii ni karibu shilingi za kwetu 5000 kwa Kilo moja.
2.RWANDA: Bei ya Sukari ni Dola1.2 sawa na Tz shs 3,500 za Tanzania.
3.KENYA: Bei ya Sukari nini Dola 3 kwa kilo mbili sawa na shilingi ya
Tanzania elfu 7500 kwa kilo mbili.
SASA nakuuliza katika nchi za AFRIKA MASHARIKI ni nchi IPI iliyo na MAISHA NAFUU?
Ukipata jibu basi HUTAKUWA tena na lawama ya kuilaumu nchi yako.
By the way hii imetokana na UKAME katika nchi zote za Afrika Mashariki. Na hivyo miwa KUPUNGUA?
Kama unajua maswala ya KIUCHUMI wa nchi za Afrika Mashariki ingekuwa ni rahisi sana kunielewa.Sukari ndiyo kipimo pekee cha hali ya maisha?mbona hujazungumzia opportunities?mbona hujagusia unemployment rates between? Hujasema kenya au uganda as a governments expenditure yao ikoje!! Bajeti yao ni kiasi gani na kiasi gani bajeti yao inaathiri maisha ya mtu mmojammoja!! Kwa mfano wako wa sukari unaweza kuwaaminisha wajinga kuwa hali ya maisha ya waingereza ni mbaya kuliko ya somalia! Kwa sababu kilo moja ya sukari UK kwa pound ni zaidi ya bei ya kilo moja ya sukari when you convert £ to somali currency!! Unajua expenditure ya mmarekani kwa siku tu just for basic needs?je kipato Chao kwa siku/saa? Think twice!
Kabla ya kutoa LAWAMA kuhusu uchumi. Nataka nikupe hali halisi ilivyo kwa jirani zetu halafu uone kama kuna ukali wa MAISHA kuliko wenzetu.
1.UGANDA: Sukari juzi juzi ilikuwa ni dola za Kimatekani 0.98 cents ambazo ni kama shs 2500 za Tanzania. Na SASA ni Dola 1.21- 1.41. Hii ni karibu shilingi za kwetu 5000 kwa Kilo moja.
2.RWANDA: Bei ya Sukari ni Dola1.2 sawa na Tz shs 3,500 za Tanzania.
3.KENYA: Bei ya Sukari nini Dola 3 kwa kilo mbili sawa na shilingi ya
Tanzania elfu 7500 kwa kilo mbili.
Tanzania bei ya Sukari ni 1800-2000.Hela ya Tanzania.
SASA nakuuliza katika nchi za AFRIKA MASHARIKI ni nchi IPI iliyo na MAISHA NAFUU?
Ukipata jibu basi HUTAKUWA tena na lawama ya kuilaumu nchi yako.
By the way hii imetokana na UKAME katika nchi zote za Afrika Mashariki. Na hivyo miwa KUPUNGUA?
Kwanini mnadharau analysis ya mwenzetu aliyetumia mfano wa Sukari? mlitaka atumie mahindi au ajira su nei ya petrol, TZ maisha ni nafuu acheni hasira zenu, fanyeni kazi, huyu zenj hajui tofauti kati ya Kodi na VAT anafikiri Serikali inaendeshwa na VAT (madini, kuingiza gari nchini, mshahara, muda wa hewani wa simu ndi VAT wanatoza) du kaziAnalysis ya kipuuzi sana hii...unafuu wa maisha unaupima kwa bei ya sukari tena kwa kufanya comparison na nchi masikini?,...hii ni price index ya wapi inayokufanya u draw conclusion ya unafuu wa maisha ya nchi?..you better put yo fat as&s down kid.
Mkuu una taaluma gani weweKwa kifupi kodi ya Tanzania (VAT) ni kubwa mno. Tanzania ina kodi ya asilimia 18. Mara tatu ya kodi ya Marekani (sales tax) ambayo ni wastani wa asilimia 6.
Kabla ya Magufuli joto ya jiwe la kodi haikuonekana kwa sababu watu wengi walikwepa kodi. Leo hii wanalipishwa kodi ndio maana vitu vimepanda bei.
Kodi si kitu kibaya ni kitu muhimu sana na serikali ina haki ya kukusanya kodi.
Hiyo kodi ya asilimia 18 kwa wafanyabiashara ingeondolewa. Badala yake wafanya biashara wangetumia mashine za TRA kukusanya kodi ndogo za asilimia kama tano kutoka kwa wanunuzi wa rejareja.
Hivi TRA wanajua kuwa wakikusanya kodi ya shilingi elfu moja kwa siku kutoka kwa wanunuzi wa reja reja milioni ishirini itaingiza shilingi bilioni moja kwa siku?
Nafikiri hoja yako ingekuwa na maana Zaidi kama ungetupatia na vipato vya wafanyakazi wa serikali katika nchi hizo ili tuvilinganishe na kipato cha wafanyakazi wetu hapa. Bei ya vitu pekee haitoshi kuonyesha kuwa maisha ni rahisi hapa kuliko huko kwa wenzetu. Inawezekana bidhaa zikawa na bei mara mbili ya hapa kwetu, lakini wakati huo huo pato la mfanyakazi kwao likawa mara tano ya pato la mfanyakazi wa hapa kwetu. Hapo bado maisha yatakuwa nafuu kwao kuliko kwetu. Huu ni mfano tu mimetumia.Kabla ya kutoa LAWAMA kuhusu uchumi. Nataka nikupe hali halisi ilivyo kwa jirani zetu halafu uone kama kuna ukali wa MAISHA kuliko wenzetu.
1.UGANDA: Sukari juzi juzi ilikuwa ni dola za Kimatekani 0.98 cents ambazo ni kama shs 2500 za Tanzania. Na SASA ni Dola 1.21- 1.41. Hii ni karibu shilingi za kwetu 5000 kwa Kilo moja.
2.RWANDA: Bei ya Sukari ni Dola1.2 sawa na Tz shs 3,500 za Tanzania.
3.KENYA: Bei ya Sukari nini Dola 3 kwa kilo mbili sawa na shilingi ya
Tanzania elfu 7500 kwa kilo mbili.
Tanzania bei ya Sukari ni 1800-2000.Hela ya Tanzania.
SASA nakuuliza katika nchi za AFRIKA MASHARIKI ni nchi IPI iliyo na MAISHA NAFUU?
Ukipata jibu basi HUTAKUWA tena na lawama ya kuilaumu nchi yako.
By the way hii imetokana na UKAME katika nchi zote za Afrika Mashariki. Na hivyo miwa KUPUNGUA?
Kabla ya kutoa LAWAMA kuhusu uchumi. Nataka nikupe hali halisi ilivyo kwa jirani zetu halafu uone kama kuna ukali wa MAISHA kuliko wenzetu.
1.UGANDA: Sukari juzi juzi ilikuwa ni dola za Kimatekani 0.98 cents ambazo ni kama shs 2500 za Tanzania. Na SASA ni Dola 1.21- 1.41. Hii ni karibu shilingi za kwetu 5000 kwa Kilo moja.
2.RWANDA: Bei ya Sukari ni Dola1.2 sawa na Tz shs 3,500 za Tanzania.
3.KENYA: Bei ya Sukari nini Dola 3 kwa kilo mbili sawa na shilingi ya
Tanzania elfu 7500 kwa kilo mbili.
Tanzania bei ya Sukari ni 1800-2000.Hela ya Tanzania.
SASA nakuuliza katika nchi za AFRIKA MASHARIKI ni nchi IPI iliyo na MAISHA NAFUU?
Ukipata jibu basi HUTAKUWA tena na lawama ya kuilaumu nchi yako.
By the way hii imetokana na UKAME katika nchi zote za Afrika Mashariki. Na hivyo miwa KUPUNGUA?
Mkuu una taaluma gani wewe
Kwa kifupi kodi ya Tanzania (VAT) ni kubwa mno. Tanzania ina kodi ya asilimia 18. Mara tatu ya kodi ya Marekani (sales tax) ambayo ni wastani wa asilimia 6.
Kabla ya Magufuli joto ya jiwe la kodi haikuonekana kwa sababu watu wengi walikwepa kodi. Leo hii wanalipishwa kodi ndio maana vitu vimepanda bei.
Kodi si kitu kibaya ni kitu muhimu sana na serikali ina haki ya kukusanya kodi.
Hiyo kodi ya asilimia 18 kwa wafanyabiashara ingeondolewa. Badala yake wafanya biashara wangetumia mashine za TRA kukusanya kodi ndogo za asilimia kama tano kutoka kwa wanunuzi wa rejareja.
Hivi TRA wanajua kuwa wakikusanya kodi ya shilingi elfu moja kwa siku kutoka kwa wanunuzi wa reja reja milioni ishirini itaingiza zaidi ya shilingi bilioni moja kwa siku?
Pato haliwezi kuwa kubwa zaidi yetu. Wakati sisi kaika AFMSHRKI uchumi wetu ni wa pili katka nchi hixi zoteNafikiri hoja yako ingekuwa na maana Zaidi kama ungetupatia na vipato vya wafanyakazi wa serikali katika nchi hizo ili tuvilinganishe na kipato cha wafanyakazi wetu hapa. Bei ya vitu pekee haitoshi kuonyesha kuwa maisha ni rahisi hapa kuliko huko kwa wenzetu. Inawezekana bidhaa zikawa na bei mara mbili ya hapa kwetu, lakini wakati huo huo pato la mfanyakazi kwao likawa mara tano ya pato la mfanyakazi wa hapa kwetu. Hapo bado maisha yatakuwa nafuu kwao kuliko kwetu. Huu ni mfano tu mimetumia.
The problem you might be having could attributed to your ignorance . Otherwise you could be reasoning rationally.Analysis ya kipuuzi sana hii...unafuu wa maisha unaupima kwa bei ya sukari tena kwa kufanya comparison na nchi masikini?,...hii ni price index ya wapi inayokufanya u draw conclusion ya unafuu wa maisha ya nchi?..you better put yo fat as&s down kid.