TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,842
- 21,681
Lesson: tusifue chupi za watu
Lesson 2: tufunge milango tukiwa tunaoga...
Lesson 3. Tusikae muda mrefu bafuni
lesson 10; Ukidondosha chupi ya mtu sio lazima uifue itakate...mwagia maji tundika.
Kuna rafiki yangu mmoja mlokole Sana, anaishi Temeke, nyumba anayoishi Ina wapangaji wengiiiiii, basi siku moja akaingia bafuni, kulikuwa na chupi ya kike imeanikwa inachuruzika Maji, sijui ikawaje, akaidondosha.... mke wake akaona mume kakaa muda mrefu bafuni akamfuata, akamkuta anafua chupi ya kike, UKAWA ugomvi mzito.
Hahahah hiz n siasa kwel UKAWA ugomvi kila mtu anakiu ya kucmamisha bendera ya pichu ikiashiria rang ya chama chao.
Ahahahaa