Ukahaba na Mkwara wa serikali ya awamu ya 5

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Nakumbuka wakati serikali hii ya awamu ya 5 inaingia madarakani ilipiga marufuku bar zote kufunguliwa muda wa kazi sambamba na kupiga marufuku biashara ya ukahaba iliyoenea maeneo mengi ya mji

Sasa siku za hivi karibuni nlitembelea arusha nikapita sehemu maarufu wanayojiuza kina Dada inaitwa SHIVAZ ipo kaloleni nlitarajia kutowakuta kutokana na agizo la serikali lakini cha ajabu nkawakuta tena mapema saa 3 usiku ,ukija huku mwanza zamani wakijiuza Maeneo ya Deluxe karibu na BOT,kule Villa Park ,lakini hawa walitii sheria wakaanza kujiuza kwa kujificha ficha lakini hivi karibuni kundi kubwa la kina Dada poa limehamia mabatini Karibu na kambi ya FFU ,sasa najiuliza tamko lile la serikali lilikua Mkwara tu kwa kina Dada hawa au washasahau tamko Lao ?!!
 
Back
Top Bottom