Ukaguzi Wa Bidhaa Feki!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Ofisa wa taasisi moja nchini akikagua ubora wa bidhaa.........ikumbukwe sidiria za mtumba zilipigwa marufuku!

 
Reactions: SMU
Hahahahaaaaa naiomba Hii kazi, nisilipwe hata salary na nitafanya overtime kama huyo Ofsaaa wa Sirikali
 
Afisaa mbona hataki kumwangalia kaona nini tena?
 
Kwani hakuna maafisa wa kike?! Huu ni unynyasaji wa kijinsia, waje wa kike kukagua
 
Hahaha, wale wasiovaa sidiria wameponyeka
 
Hapo mbona kama ni jirani ya Leaders Club kunako biashara za usiku?
 
Akimaliza kukagua sidiria atateremka chini kukagua pichu, ambazo nazo zimepigwa marufuku! Ofisa huyu
ni mfanyakazi bora.
 
Rich Pol umeongea kama ofsaa wa serikali mkaguzi,mpaka na maeneo unayajua!Niambie mkuu,upo??

Nipo mkuu mpaka maeneo nayafahamu jamaa naona alikuwa anakagua kabla ya kulipia unaweza ukalipia ukifika huko hakuna kitu.
Salama lakini??.
 
Last edited by a moderator:
Huu ukaguzi huuu mmmmmh!
Atakaguwa mpaka mashavu kama ni feki
 
Nipo mkuu mpaka maeneo nayafahamu jamaa naona alikuwa anakagua kabla ya kulipia unaweza ukalipia ukifika huko hakuna kitu.
Salama lakini??.

Nipo mkuu,,hahaaaaaa,mi si nikajua utakuwa ndio wewe!
 
Mkuu huyu askari tapeli hana lolote isipokuwa labda yeye anataka nyama mbichi tuu ya bure na usiku huu ni ofisi gani ipo wazi labda wale wanao kamata makontena ya machina hapo kariakoo usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…