wanajua CDM ni mabingwa wa kuchukua kura za wanaCCM ktk siri...
JK kajiuza sana,kwani mashirika ya kimataifa yapo..sasa iko wazi kwamba CCM wanataka kuvuruga mchakato kufuatia msimamo wa CCM uliotolewa na Rais Kikwete kipindi anazindua bunge la katiba siku ya tarehe 21-03.2014. maCCM hawana nia ya kuandaa katiba mpya. Nia waliyo nayo ni kutaka kuona kwamba mchakato wa utunzi wa katiba unakwama ili waendelee kutumia katiba mbovu iliyopo kwa ajili ya kujichotea na kutafuna mali za umma bila kunawa. cursed be CCM and their supporters!
Tatizo hapa ni baadhi ya watu kutokufahama mantiki ya hoja zao. Kuna baadhi wanadhani hoja zao ndiyo za wananchi bila kufahamu kuwa CCM ni sehemu ya wananchi.Mbona mnaongea kama vile CCM sio sehemu ya wananchi na vilevile hawawakilishi wananchi? Kumbukeni kuwa zaidi ya 80% ya wananchi hawakuzungumzia Muungano wakati wa kukusanya maoni kwa kuwa hawakuona tatizo na Muundo wa Muungano! Sasa ya nini ku-create tatizo huku mkijua kuwa halipo kwa kiasi hicho?
Tatizo hapa ni baadhi ya watu kutokufahama mantiki ya hoja zao. Kuna baadhi wanadhani hoja zao ndiyo za wananchi bila kufahamu kuwa CCM ni sehemu ya wananchi.
Mbona mnaongea kama vile CCM sio sehemu ya wananchi na vilevile hawawakilishi wananchi? Kumbukeni kuwa zaidi ya 80% ya wananchi hawakuzungumzia Muungano wakati wa kukusanya maoni kwa kuwa hawakuona tatizo na Muundo wa Muungano! Sasa ya nini ku-create tatizo huku mkijua kuwa halipo kwa kiasi hicho?
sasa iko wazi kwamba CCM wanataka kuvuruga mchakato kufuatia msimamo wa CCM uliotolewa na Rais Kikwete kipindi anazindua bunge la katiba siku ya tarehe 21-03.2014. maCCM hawana nia ya kuandaa katiba mpya. Nia waliyo nayo ni kutaka kuona kwamba mchakato wa utunzi wa katiba unakwama ili waendelee kutumia katiba mbovu iliyopo kwa ajili ya kujichotea na kutafuna mali za umma bila kunawa. cursed be CCM and their supporters!
JK kajiuza sana,kwani mashirika ya kimataifa yapo..