Tukirudi kwenye mada,mi nahisi hata shule za kata zinarudisha ukabila. Kama umezaliwa mkoa fulani,smsingi hapohapo,secondari kata,hapohapo,ile cross region ya enzi zile unatoka knjaro,formm1 unapelekwa kantalamba sec. n.k(hapa mtakutana watu toka karibu kila mkoa) haipo tena.